Elimu hii muhimu sana hukufundishwa shuleni, ipate hapa

Jamani wewe😬😬 ,. Me siko serious sijui kwanini mtu anahisi yuko ofended na maandishi
Nimeumia😔😔
Ukute mtu kanyimwa papuchi usiku mzima halafu asbh saa 12 oclock kapokea simu 7 za madeni... ile kuingia JF anakuta comment yako ya kujimwambafy.
 
Mmnh🤔🤔
Mnisamehe jamani sikua namaanisha mlivyoelewa,. Wenye akili tu nadhani ndio wamenipata

Maana wote walikua wanamdhihaki badala wahoji maswali walau kama wako interested wabageni bei wakashiriki lakini imekua tofauti

Mnisamehe sana🙏🙏🙏
 
Usichukulie serious.,.limeisha tayari
 
Rafiki yangu mpendwa,

Kwa miaka yoyote ambayo ulikaa shuleni, ulifundishwa mambo mengi sana. Lakini kuna elimu moja muhimu sana ambayo hukufundishwa na ndiyo inayokutesa mpaka leo.

Ulifundishwa historia za mambo ya kale, jografia ya maeneo mbalimbali, sayansi ya viumbe wote na hisabati za kukokotoa mengi. Yote hayo ulikazaniwa sana kuyajua hata kwa kukariri.

Leo hii kwenye maisha yako, huyatumii kabisa hayo mengi uliyojifunza. Kwa maisha unayoishi na shughuli unazofanya, mengi sana uliyokazaniwa kuyajua huyatumii kabisa.

Lakini kuna kitu kimoja ambacho unakitumia kila siku ya maisha yako na hukufundishwa kabisa shuleni. Kitu hicho ni fedha.

Hakuna siku itakayopita kwenye maisha yako bila kufikiria kuhusu fedha. Ndiyo zinakufanya uwahi kuamka na uchelewe kulala. Unatumia muda wako wote kufikiria na kuhofu kuhusu fedha.

Pamoja na umuhimu huo mkubwa wa fedha, hukufundishwa kabisa shuleni. Na hilo ndiyo limepelekea swala la fedha kuwa gumu sana kwako.

Kwa sababu eneo la fedha ni ujuzi kama ilivyo ujuzi mwingine. Ili uwe vizuri kifedha ni lazima ujijengee ujuzi wa aina tatu.

Ujuzi huo ni KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha. Usipokuwa na ujuzi huo wa aina tatu kwa uhakika, utasumbuka sana kifedha.

TANGAZO-SEMINA.jpg

Rafiki, leo nina habari njema sana kwako kuhusu mahali sahihi unapoweza kupata elimu ya fedha uliyoikosa shuleni. Kuna fursa nzuri kwako kupata elimu na hatua za kuchukua ili kuwa vizuri kwenye eneo hilo la kifedha.

Mahali hapo ni SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 ambayo taarifa zake ziko hapo chini. Pitia kwa makini kisha chukua hatua mara moja.

View: https://youtu.be/llwvmiTDxCc

Karibu Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifuatavyo;

1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.

2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.

3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.

4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.

5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.

6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.

7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.

Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kushiriki piga simu au tuma ujumbe wa kawaida au kwa wasap kwenda namba 0752977170 wenye maneno SEMINA 2024 na utapewa utaratibu mzima na nafasi ya kushiriki.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kufanya uwekezaji bora kabisa kwako, utakaoacha alama kubwa kifedha kwako.

Kutoka kwa rafiki yako anayekupenda na kukujali sana,

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

Daktari |Mwandishi |Kocha |Mkufunzi

Wewe pesa unazo? Mtoto huwa anafundishwa kunyonya?
 
Angekuwa na hizo akili nyingi basi angeona ni bora zaidi kutoa hiyo elimu ya kifedha bure. Angekuwa mwanaharakati. Angeanzisha kampeni labda kuipeleka hiyo elimu mashuleni na vyuoni...

Sasa Certified Fraud Examiner anauza seminars dah, inachekesha.
Mkuu,
Vitu vya Bure Bure havinaga thamani mifano ni mingi ie. ELIMU BUREEEE is fraud 🤥

Elimu ni gharama siku zoteee Ila ignorance ni gharama zaidi

Hayati Lowassa aliwai kuweka wazi kipaumbele chake ni ELIMU ELIMU ELIMU
 
Rafiki yangu mpendwa,

Kwa miaka yoyote ambayo ulikaa shuleni, ulifundishwa mambo mengi sana. Lakini kuna elimu moja muhimu sana ambayo hukufundishwa na ndiyo inayokutesa mpaka leo.

Ulifundishwa historia za mambo ya kale, jografia ya maeneo mbalimbali, sayansi ya viumbe wote na hisabati za kukokotoa mengi. Yote hayo ulikazaniwa sana kuyajua hata kwa kukariri.

Leo hii kwenye maisha yako, huyatumii kabisa hayo mengi uliyojifunza. Kwa maisha unayoishi na shughuli unazofanya, mengi sana uliyokazaniwa kuyajua huyatumii kabisa.

Lakini kuna kitu kimoja ambacho unakitumia kila siku ya maisha yako na hukufundishwa kabisa shuleni. Kitu hicho ni fedha.

Hakuna siku itakayopita kwenye maisha yako bila kufikiria kuhusu fedha. Ndiyo zinakufanya uwahi kuamka na uchelewe kulala. Unatumia muda wako wote kufikiria na kuhofu kuhusu fedha.

Pamoja na umuhimu huo mkubwa wa fedha, hukufundishwa kabisa shuleni. Na hilo ndiyo limepelekea swala la fedha kuwa gumu sana kwako.

Kwa sababu eneo la fedha ni ujuzi kama ilivyo ujuzi mwingine. Ili uwe vizuri kifedha ni lazima ujijengee ujuzi wa aina tatu.

Ujuzi huo ni KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha. Usipokuwa na ujuzi huo wa aina tatu kwa uhakika, utasumbuka sana kifedha.

TANGAZO-SEMINA.jpg

Rafiki, leo nina habari njema sana kwako kuhusu mahali sahihi unapoweza kupata elimu ya fedha uliyoikosa shuleni. Kuna fursa nzuri kwako kupata elimu na hatua za kuchukua ili kuwa vizuri kwenye eneo hilo la kifedha.

Mahali hapo ni SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 ambayo taarifa zake ziko hapo chini. Pitia kwa makini kisha chukua hatua mara moja.

View: https://youtu.be/llwvmiTDxCc

Karibu Kwenye SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024.

Semina hii inakwenda kukupa maarifa sahihi ya KUPATA, KUTUNZA na KUZALISHA fedha kwa kutumia nguzo saba unazopaswa kuzijua.

Nguzo hizo saba za kukuwezesha kuwa imara kifedha ni kama ifuatavyo;

1. KIPATO; Kikubwa, Uhakika na Endelevu.

2. AKIBA; Dharura, Malengo na Nidhamu.

3. MATUMIZI; Mahitaji, Matakwa na Anasa.

4. MADENI; Mazuri, Mabaya na Kutokomeza.

5. MATOLEO; Sadaka, Misaada na Kodi.

6. UWEKEZAJI; Masoko, Hatifungani na Mali.

7. ULINZI (BIMA); Afya, Mali na Maisha

Kwenye nguzo hizo saba unakwenda kujifunza kwa vitendo na kutoka na hatua za kwenda kuchukua ili uwe imara kifedha.

Hupaswi kukosa SEMINA YA KISIMA CHA MAARIFA 2024 kama upo makini na fedha zako.

Semina itafanyika Mbezi Garden Hotel DSM tarehe 27/10/2024.

Ada ya kushiriki semina ni Tsh 65,000/= Kama utalipa kabla ya tarehe 01/10/2024 na kuanzia tarehe 01/10/2024 ada ya kushiriki itakuwa Tsh 100,000/=.

Kushiriki piga simu au tuma ujumbe wa kawaida au kwa wasap kwenda namba 0752977170 wenye maneno SEMINA 2024 na utapewa utaratibu mzima na nafasi ya kushiriki.

Karibu rafiki uchukue hatua sasa ili kufanya uwekezaji bora kabisa kwako, utakaoacha alama kubwa kifedha kwako.

Kutoka kwa rafiki yako anayekupenda na kukujali sana,

Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

Daktari |Mwandishi |Kocha |Mkufunzi

Dah sio kwa ubaya ila kuna watu mnatuonaga mwenzenu wajinga sana, sasa unasema hatukufundishwa una hakika gani au tulisoma wote??

Na kama ni wote wewe ulifundishwa na nani??

Kwa hiyo ukinifundisha hapo nishatoboa au sio??🤣

Sio kama napinga ila dah marketing strategies zenu huwa zinanifurahisha sana

Ila nasema, bora wewe kuliko wale motivational speakers ambao kazi yao nikuhamasisha tu kinadharia bila kuonesha mfano dhahiri wa kivitendo unaoakisi maisha yao halisi

Na kama wewe ni mmoja wao basi kalaghabaho
 
Wewe umeona watu walikua wanahoji au walikua wanamdhihaki,. Sometimes read between the lines
Watahoji, watadhihaki na wengine watatukana...

Ukubali yote, naamini hata mleta mada alijiandaa kwa yote.
 
Mkuu,
Vitu vya Bure Bure havinaga thamani mifano ni mingi ie. ELIMU BUREEEE is fraud 🤥

Elimu ni gharama siku zoteee Ila ignorance ni gharama zaidi

Hayati Lowassa aliwai kuweka wazi kipaumbele chake ni ELIMU ELIMU ELIMU
Havina thamani kwako, ila wanaosaidika wanashukuru.

Tukiendekeza ubepari kwenye kila kitu tunakosa utu.
 
Back
Top Bottom