Elimu hii muhimu sana hukufundishwa shuleni, ipate hapa

Elimu hii muhimu sana hukufundishwa shuleni, ipate hapa

Vita vya panga,haviingiliwi na fimbo. Ilata mda elimu ya fedha umeongea point sana nikupe pongezi.

Ila umekuja kualibu kitu kimoja tu ambacho wananchi wenye hasira Kali hawataki. Kiwango Cha pesa ulichosema kwenye semina yako ni kikubwa sana na si Kila mmoja wetu anaweza kuwa nayo.

Unapolenga kitu jaribu kuweka na madaraja ya kiingilio kwa watu wenye uwezo mkubwa ki fedha na sisi wa Hali ya chini ili wote tufaidike na elimu yako. Asante
Kiwango alichotaja sio kikubwa sana kwa maana kuna gharama za kukodi ukumbi, kuwalipa wazungumzaji wengine, kumlipa MC, mapambo na hata bites nk

Hapo kama anapokea ushauri, aweke na hiyo link ya zoom ambapo huko anaweza weka kiingilio Tshs. 10,000/= na watu wengi wakahuduhuria bila kufika ukumbini.
 
20240113_131451.jpg
 
Kiwango alichotaja sio kikubwa sana kwa maana kuna gharama za kukodi ukumbi, kuwalipa wazungumzaji wengine, kumlipa MC, mapambo na hata bites nk

Hapo kama anapokea ushauri, aweke na hiyo link ya zoom ambapo huko anaweza weka kiingilio Tshs. 10,000/= na watu wengi wakahuduhuria bila kufika ukumbini.
Hiyo pesa ni rahisi kuitaja pia ni ngumu kuitoa. Ukizungumzia ghalama naona unakosea kwa sababu duniani hapa Everything has price na hiyo ndo kanuni.

Hiyo pesa amelenga sana watu wenye uwezo mkubwa na hakujali watu wa chini. Ni ngumu sana kutoa 100k kwenda kununua maneno ya masaa 8. Wakati elimu ya fedha zipo hata online unapata vitabu vyake vingi sana.
Mleta mada unapaswa kufanya research kwanza na ujue wateja zako wanahitaji discount kiasi gani ili Kila mtu apate huduma yako
 
Elimu ya pesa, elimu muhimu kabisa ambayo ni wachache mnoo wamebahatika kuipata.....na ukiipata unafanikiwa.

Wanajf najua nyie matajiri naombeni mnichangie niende 😔😔😔

Natanguliza shukrani
 
Kungekuwa kweli na elimu ya fedha ambayo ukiipata basi unakuwa na uhakika wa 100% wa kupata pesa nyingi,
Maisha yangekuwa marahisi mbona.

Na ingekuwa inatolewa bure kwasababu inatengeneza mnyororo, wewe umeitumia umekuwa tajiri huna shida ya hela, kwaninj uniuzie sasa.
 
Muulize Mamako ndio ananijua vizuri tu,huenda mimi ndio Babako sema anakuficha tu.
Achana na hii biashara mkuu,jambo limeenda mbali sana.

Nguvu unazotumia kujibizana na wanawake wa humu bora hata kama kamba za viatu vyako unahisi umezikaza vizuri zifungue tena uzifunge upya just kuji-keep busy maana wengi hawako smart kama wengi wanavyodhani.
 
Asante kwa taarifa kiongozi,. Uzuri ni kwamba Watakaokuja hawana mda wa kuandika upuuzi hapa,.

So hizi toxic comments wala zisikukatishe tamaa,.

Haya anayetaka nimlipie aseme asaidiwe ili mpunguze makasiriko
Kwa hiyo watu wasihoji, weak people hawataki kuwa criticised.

Hizi ni porojo za kupiga watu tu wala hamna kingine.
 
Back
Top Bottom