Elimu hii muhimu sana hukufundishwa shuleni, ipate hapa

Elimu hii muhimu sana hukufundishwa shuleni, ipate hapa

Mleta mada upo sawa kabisa. Elimu Yako imekusaidia kuona sisi ndo fursa Yako Kwa hili tu nakupongeza sana lkn kamwe vijana wa aina hii huwezi kuwapata Wala kuwaona hata kama ungeweka free Entry

Vijana wenyewe 👇👇
 
Attachments

  • 6b4623a4fc3292194774ef5316b96900.mp4
    5.8 MB
Wewe una shillingi ngapi Benki mpaka uje utufundishe sisi?. Bila kuweka bank statement tuone salio lako wewe mtoa mada/ muendesha semina itakuwa ni sawa na comedy tu.

Kama unazo fedha kweli kutokana na uelewa wako basi fanya semina isiwe na kiingilio! Iwe BURE
kwani hujui kuwa elimu bora ni hile unaenda kununua ???

hakuna kitu cha bure bro unanunua maarifa,unachakata maarifa,then idea inakuja unaanza kuuza maarifa uliyo nunua

nadhania sisi waafrica ni watu wa negativity sana
 
hii nchi yangu bado elimu inahitajika nimeona mabroo ambao huwa naona wako very bright on comment eti na wao wanaponda kuhusu hiyo semina kwakuwa ina kiingilio cha shilling 65k daaaah noma sana
 
Vita vya panga,haviingiliwi na fimbo. Ilata mda elimu ya fedha umeongea point sana nikupe pongezi.

Ila umekuja kualibu kitu kimoja tu ambacho wananchi wenye hasira Kali hawataki. Kiwango Cha pesa ulichosema kwenye semina yako ni kikubwa sana na si Kila mmoja wetu anaweza kuwa nayo.

Unapolenga kitu jaribu kuweka na madaraja ya kiingilio kwa watu wenye uwezo mkubwa ki fedha na sisi wa Hali ya chini ili wote tufaidike na elimu yako. Asante
fact mkuu ,though kias anachotaka kinalenga kwamb yupo kibiashara zaidi so ni kuwadidimiza kabisa waliokuwa na lengo la kukuza mtaji
 
Asante kwa taarifa kiongozi,. Uzuri ni kwamba Watakaokuja hawana mda wa kuandika upuuzi hapa,.

So hizi toxic comments wala zisikukatishe tamaa,.

Haya anayetaka nimlipie aseme asaidiwe ili mpunguze makasiriko
Naomba unilipie dada. Hiyo hela tuma kwenye mamba hii...
 
Asante kwa taarifa kiongozi,. Uzuri ni kwamba Watakaokuja hawana mda wa kuandika upuuzi hapa,.

So hizi toxic comments wala zisikukatishe tamaa,.

Haya anayetaka nimlipie aseme asaidiwe ili mpunguze makasiriko
Uzuri mimi naishi karibu na Mbezi Garden na nazijua conference rooms zote, kama atapata hao watu nitajuwa. Na nitarudi kwenye comment yako ili tuone kwelie kama mawazo yetu ni TOXIC
 
kwani hujui kuwa elimu bora ni hile unaenda kununua ???

hakuna kitu cha bure bro unanunua maarifa,unachakata maarifa,then idea inakuja unaanza kuuza maarifa uliyo nunua

nadhania sisi waafrica ni watu wa negativity sana
Athibitishe basi kama yeye amefuzu kwa kutuwekea Bank statements hapa!! Mwamposa atupige, Kiboko ya wachawi atupige, na huyu naye anataka kutupiga.
 
Back
Top Bottom