Elimu hii muhimu sana hukufundishwa shuleni, ipate hapa

Mkuu,

kuwa TO inahusiana nini na maswala ya fedha??
IQ kubwa ya kuelewa mambo magumu magumu na mepesi mepesi
Kua TO maana yake aliweza kupata A kwenye masomo zaidi ya SABA O-LEVEL

Akaenda kusoma PCB na huko akakinukisha balaa

Chuo kikuu aka opt akaenda UDSM hapo Business school wakati angeweza kwenda kusoma medicine

Ni mtu ambae angepata kazi kirahisi Ila aliamua kuwekeza kwenye kujiajir na kuajir wengine

Kwa kuhitimisha jamaa anajua Mambo ya FINANCE Sana in practical way
 
Chuo kikuu aka opt akaenda UDSM hapo Business school wakati angeweza kwenda kusoma medicine....
20240904_082836.jpg

Mbona mleta mada ni MD? Amewezaje kuwa MD bila kusoma Medicine?

Au na wewe unachawika tu bila kuwa na facts sawasawa?
 
IQ kubwa ya kuelewa mambo magumu magumu na mepesi mepesi
Kua TO maana yake aliweza kupata A kwenye masomo zaidi ya SABA O-LEVEL

Akaenda kusoma PCB na huko akakinukisha balaa

Chuo kikuu aka opt akaenda UDSM hapo Business school wakati angeweza kwenda kusoma medicine

Ni mtu ambae angepata kazi kirahisi Ila aliamua kuwekeza kwenye kujiajir na kuajir wengine

Kwa kuhitimisha jamaa anajua Mambo ya FINANCE Sana in practical way
Angekuwa na hizo akili nyingi basi angeona ni bora zaidi kutoa hiyo elimu ya kifedha bure. Angekuwa mwanaharakati. Angeanzisha kampeni labda kuipeleka hiyo elimu mashuleni na vyuoni...

Sasa Certified Fraud Examiner anauza seminars dah, inachekesha.
 
IQ kubwa ya kuelewa mambo magumu magumu na mepesi mepesi
Kua TO maana yake aliweza kupata A kwenye masomo zaidi ya SABA O-LEVEL

Akaenda kusoma PCB na huko akakinukisha balaa

Chuo kikuu aka opt akaenda UDSM hapo Business school wakati angeweza kwenda kusoma medicine

Ni mtu ambae angepata kazi kirahisi Ila aliamua kuwekeza kwenye kujiajir na kuajir wengine

Kwa kuhitimisha jamaa anajua Mambo ya FINANCE Sana in practical way
Ndio uhusiano uliopo kati ya kuwa TO na fedha siyo?
 
Wewe una shillingi ngapi Benki mpaka uje utufundishe sisi?. Bila kuweka bank statement tuone salio lako wewe mtoa mada/ muendesha semina itakuwa ni sawa na comedy tu.

Kama unazo fedha kweli kutokana na uelewa wako basi fanya semina isiwe na kiingilio! Iwe BURE
😳Jamani
 
Back
Top Bottom