The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kipimo chako cha kumjua mwenye akili sana ni kipi?Nilikuaga nakuona una akili sana ila leo ndio nimeamini kua una inferiority complex kama wengine wanavyosema
Unaongelea akili za kwenye jambo gani? unaongelea akili zipi?
Sijawahi kumuomba mtu anione nina akili wala sihitaji hilo,kwahiyo mtu akiwa tofauti kimtazamo na wewe anakua hana akili?
Hiyo inferiority complex niliyo nayo ipo kwenye jambo gani?
gt the fvk away from me.