Unaomba msaada ukiwa wp?Elimu ya pesa, elimu muhimu kabisa ambayo ni wachache mnoo wamebahatika kuipata.....na ukiipata unafanikiwa.
Wanajf najua nyie matajiri naombeni mnichangie niende πππ
Natanguliza shukrani
Nakubali Makirita ni level nyingine ila wasifu wako umekosea mahala, jamaa kasoma Medicine.IQ kubwa ya kuelewa mambo magumu magumu na mepesi mepesi
Kua TO maana yake aliweza kupata A kwenye masomo zaidi ya SABA O-LEVEL
Akaenda kusoma PCB na huko akakinukisha balaa
Chuo kikuu aka opt akaenda UDSM hapo Business school wakati angeweza kwenda kusoma medicine
Ni mtu ambae angepata kazi kirahisi Ila aliamua kuwekeza kwenye kujiajir na kuajir wengine
Kwa kuhitimisha jamaa anajua Mambo ya FINANCE Sana in practical way
Ntumie kwa namba inaishia 20 jina litakuja Eve πΉUnaomba msaada ukiwa wp?
Uko wp?
Nakubaliana na wewe nakubali kusahihishwa pia πNakubali Makirita ni level nyingine ila wasifu wako umekosea mahala, jamaa kasoma Medicine.
Vilevile nilimuona BoT kati ya wale Certified Financial educators.
Mimi profession yangu ni money management, lakini nisingekua na hii elimu basi ningejifunza kwa huyu jamaa, kiukweli yupo bright na anajua anachoongea
Humu Jf kumeshakua tu kichaka cha jobless, ndo maana hata mimi kila muda utakuta naongelea ujinga tu ili kurefresh, ukileta mada kama hizi watakaokuwa serious wala hawatocomment bali watachukua namba au wakufuate PM,
JF ya miaka ile ilikua moto sana, watu walikua na akili, japo wengine wakaishia kujazwa kule Jangid plaza na yule Sir Jeff na toka hio event jf haijawa the same