Mkereketwa wa NAZI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 1,048
- 2,449
Mtaani huwezi kuta mwanafunzi wa UDSM kakosa ajira n nadra sn na wengi wao huwa hawatak izo ajira huwa wanapenda zaid kujiajiri tofauti na vyuo vyengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UDOM wahitimu wa computer imeanza kuwatoa mwaka gani? Uchanga wa vyuo vingine ndio unapelekea haya, miaka 20 mbele hutaona hii hali tenaSasa kweli mhitimu wa yudomu akaongoze wasomi na wataalam wa NMB kweli? Yaani mhitimu wa computer au IT wa yudomu akaongoze jopo la wataalam TCRA?? acheni utani😀😀😀
😂😂😂😂 Ati ninii??Mtaani huwezi kuta mwanafunzi wa UDSM kakosa ajira n nadra sn na wengi wao huwa hawatak izo ajira huwa wanapenda zaid kujiajiri tofauti na vyuo vyengine
Hahahaha JIDANGANYEMtaani huwezi kuta mwanafunzi wa UDSM kakosa ajira n nadra sn na wengi wao huwa hawatak izo ajira huwa wanapenda zaid kujiajiri tofauti na vyuo vyengine
Kipindi cha Magu Utumishi walipewa jukumu la kusimamia ajira ila kwa sasa ajira nyingi ni mashirika / taasisi zinajisimamia.Nenda PSRS utumishi watakupa majibu....ajira sasa hv sio umesoma wapi..ni unajua nn..pambana ujue
Tulia mkuu, kwani hupendi asali😂Kile chuo chenu cha INTELI cha ufugaji wa nyuki nakuja kukibomoa na BULLDOZE
Kachukue fomu ya ubunge ukalalamike bungeniVyuo vya Bongo havina resources na strong departments za research and development .
Badala ya kuviwezesha ili kusaidia maendeleo ya tafiti ,Science na technology , mnakaa kujadili utopolo wa udsm kuwa bora .
Yaani takataka kama udsm ina tofauti gani na vyuo utopolo vilivyojazana humu Bongo ?
Kuna lipi la maana au reseach au project ipi ya maana ambayo imeleta solution kubwa kwa jamii udsm wamefanya ?
Ndio maana hata ranking viko chini sana ,including utopolo udsm , vyuo vya Bongo ni rubbish kabisa .
Bado unaandika hisia sio uhalisia...nadhan bado upo chuo, subiri umalize uje mtaamiKipindi cha Magu Utumishi walipewa jukumu la kusimamia ajira ila kwa sasa ajira nyingi ni mashirika / taasisi zinajisimamia.
Wakurugenzi wengi waliosoma UDSM ndio wanasimamia ajira, Unategemea nini ??
Ni maza mwenyewe ndie alieruhusu wakurugenzi wanze upya huu mfumo ambao Magufuli aliutokomeza kwa kutumia idara ya Utumishi isimamie ajira.
Akili kisoda , tuliza kalioKachukue fomu ya ubunge ukalalamike bungeni
watu wanalamba ajira, wanalipwa mishahara na posho kwa kodi yako, wanakula tenda kwa kodi yako, maisha yanaendelea..