World Logistics Company
Member
- Jun 1, 2021
- 99
- 104
Habari wadau wa JamiiForums,
Salamu kutoka WLC.
Tuliomba nafasi kwa uongozi tuje kutoa elimu kwenu kuhusiana na uagizaji wa bidhaa au huduma ndani na nje ya nchi. Tumekuja rasmi.
Mzigo wako umekwama bandarini? Uwanja wa Ndege au sehemu yoyote? Tuulize tukupe ushauri wa kitu gani cha kufanya.
Kama una experience yoyote kuhusu ucheleweshwaji wa mzigo wako, hasara, utapeli na mengineyo; shirikisha hapa na wengine wajifunze wasipate hasara.
Na endapo hujawahi kuagiza chochote, hujui pa kuanzia na unataka kujifunza, unaweza kutumia uzi huu vizuri.
Sisi tutakuwepo nanyi hapa muda wote na tutakuwa tukianzisha threads mbalimbali za kuelimisha juu ya huduma hizi.