Elimu Jamii: Usafirishaji bidhaa/huduma ndani na nje ya Tanzania

Elimu Jamii: Usafirishaji bidhaa/huduma ndani na nje ya Tanzania

Joined
Jun 1, 2021
Posts
99
Reaction score
104
Habari wadau wa JamiiForums,

Salamu kutoka WLC.

Tuliomba nafasi kwa uongozi tuje kutoa elimu kwenu kuhusiana na uagizaji wa bidhaa au huduma ndani na nje ya nchi. Tumekuja rasmi.

Mzigo wako umekwama bandarini? Uwanja wa Ndege au sehemu yoyote? Tuulize tukupe ushauri wa kitu gani cha kufanya.

Kama una experience yoyote kuhusu ucheleweshwaji wa mzigo wako, hasara, utapeli na mengineyo; shirikisha hapa na wengine wajifunze wasipate hasara.

Na endapo hujawahi kuagiza chochote, hujui pa kuanzia na unataka kujifunza, unaweza kutumia uzi huu vizuri.

Sisi tutakuwepo nanyi hapa muda wote na tutakuwa tukianzisha threads mbalimbali za kuelimisha juu ya huduma hizi.
 
Karibuni JamiiForums. Tunatarajia kujifunza mengi zaidi kutoka kwenu.

Mkiachana na kutoa elimu, nyingi mnafanya hizo huduma au ni consulting firm tu? Naomba mnifahamishe hilo kwa sasa.
 
>Kama naagiza mzigo wa biashara kutoka China ni documents zipi muhimu napaswa kuwa nazo?
>Vigezo vipi vinatumika ku charge garama za kutoa mzigo bandarini(kg au volume)
>kodi ya kuingiza mzigo??
>kama nikiwachagua nyinyi kunitolea mzigo bandarini rates zenu zipoje

Mfano aina ya mzigo ni spare parts
 
Back
Top Bottom