Godfrey- denis
Member
- Aug 26, 2022
- 64
- 124
Tupo pamoja. Elimu hii ni muhim hasa kwa vijana na wapenda maendeleo. Elimu za darasani nyingi ni za kukariri. Tunahitaji mawazo mbadala kubadilisha maisha yetu.MTIRIRIKO WA MASOMO KUHUSU UWEKEZAJI KWENYE MASOKO YAVFEDHA NA MITAJI.
Kuanzia leo, nitakuwa nikiandaa mfululizo wa masomo mafupi ya kila siku kuhusu uwekezaji, hasa katika maeneo ya:
π Uwekezaji kwenye soko la hisa
π Hatifungani (bonds)
π Uwekezaji kwenye mifuko ya pamoja kama UTT AMIS, FAIDA FUND na M-WEKEZA.
Lengo letu ni kuelimisha, kuhamasisha na kuwawezesha Watanzania wengi zaidi kuelewa fursa hizi muhimu za uwekezaji.
β‘οΈ Tafadhali fatilia kila somo, changia mawazo na uliza maswali bila woga.
Kwa pamoja tutajifunza hatua kwa hatua hadi kuelewa kwa undani kabisa namna bora ya kuwekeza na kufikia uhuru wa kifedha. π‘
Karibuni sana π«΄
Kweli kaka, tuendelee kufatilia masomo β naamini kufikia somo la mwisho kila mmoja atakuwa ameelewa na ameanza kuwekeza.Hii elimu inapuuzea ila ndio elimu muhimu sana kwa sasa. Wengi wanatapanya pesa bila kuwa na uelewa lakini kama wangewekeza kwenye UTT, Bonds n.k ingewasaidia sana kulinda pesa zao.
Mkuu nipo pamoja na wewe tupe elimu JF inawategemea watu kama wewe mzidi kuipa uhai
Karibu sana, tuendelee kula shule na kuwekeza.Shusha nondo
MTIRIRIKO WA MASOMO KUHUSU UWEKEZAJI KWENYE MASOKO YAVFEDHA NA MITAJI.
Kuanzia leo, nitakuwa nikiandaa mfululizo wa masomo mafupi ya kila siku kuhusu uwekezaji, hasa katika maeneo ya:
π Uwekezaji kwenye soko la hisa
π Hatifungani (bonds)
π Uwekezaji kwenye mifuko ya pamoja kama UTT AMIS, FAIDA FUND na M-WEKEZA.
Lengo letu ni kuelimisha, kuhamasisha na kuwawezesha Watanzania wengi zaidi kuelewa fursa hizi muhimu za uwekezaji.
β‘οΈ Tafadhali fatilia kila somo, changia mawazo na uliza maswali bila woga.
Kwa pamoja tutajifunza hatua kwa hatua hadi kuelewa kwa undani kabisa namna bora ya kuwekeza na kufikia uhuru wa kifedha. π‘
Karibuni sana π«΄habari. Naomba kujifunza kuhusu UTT AMIS ,,asante
Kwa namna gani??ndo hapo nahitaji kufundishwa swala hiloUnawekeza kitu ambacho huna, toa mitaji
Masomo yanaendelea kiongozi, nimeshafikia somo la tatu β ambapo nimeangazia uwekezaji kwenye soko la hisa.Nanukuu "Kuanzia leo, nitakuwa nikiandaa mfululizo wa masomo mafupi ya kila siku kuhusu uwekezaji" naona mkuu umekuwa kimya sana