kwanini inatakiwa kuweka flight mode ukiwa kwenye ndegeMnaweza kuendelea kuuliza maswali na kuomba ufafanuzi wa masuala yote yahusuyo safari za ndege.
PM iko wazi pia kwa watakaotaka kuuliza maswali yao pembeni.
Karibuni.
[emoji3][emoji3][emoji3]Maswali yangu hayo hapo chini sijui kama umeyaona
1.He,ninaruhusiwa kuingia na kondom ndani ya ndege ya abiria
2.Je, naruhusiwa kuoga nikiwa ndani ya ndege ya abiria
kwanini inatakiwa kuweka flight mode ukiwa kwenye ndege
Hizo silaha ndio miongoni mwa vifaa vinavyozuiliwa ndani ya ndege.-Tofauti na vimiminika, lotion na spray vitu gani vingine vinazuiwa ndani ya ndege?
-Silaha kama bastora na visu zinaruhusiwa kuingia navyo?
Sasa mkuu kama ninaimiliki kwa sehemu X na ninahama kwenda sehemu X ina maana ka silaha kangu ndio basi tena? Au kuna utaratibu wa kuisafirisha kupitia ndege za mizigo?Hizo silaha ndio miongoni mwa vifaa vinavyozuiliwa ndani ya ndege.
Asante.
jinsi ya kupata visa
Sasa mkuu kama ninaimiliki kwa sehemu X na ninahama kwenda sehemu X ina maana ka silaha kangu ndio basi tena? Au kuna utaratibu wa kuisafirisha kupitia ndege za mizigo?
Mkuu samahani, sijaridhika na majibu yako/yenu.Hili swali tulilitarajia, tulilisubiria.
Abiria wa Ndege huambiwa wazime vifaa vya kielektroniki vinavyotuma mawasiliano zikiwemo simu na tablets, au kuviweka katika hali ya ndege (Airplane Mode) ili kuepusha muingiliano wa mawasiliano ya ndege na kumchanganya rubani.
Hata hivyo, maendeleo ya teknolojia yamerahisisha siku hizi ndege nyingi zimeweka vifaa vya kuzuia muingiliano huo, hivyo abiria wanaruhusiwa kutumia vifaa vya mawasiliano wakiwa hewani bila shida.
Asante.
angani kuna network?Hili swali tulilitarajia, tulilisubiria.
Abiria wa Ndege huambiwa wazime vifaa vya kielektroniki vinavyotuma mawasiliano zikiwemo simu na tablets, au kuviweka katika hali ya ndege (Airplane Mode) ili kuepusha muingiliano wa mawasiliano ya ndege na kumchanganya rubani.
Hata hivyo, maendeleo ya teknolojia yamerahisisha siku hizi ndege nyingi zimeweka vifaa vya kuzuia muingiliano huo, hivyo abiria wanaruhusiwa kutumia vifaa vya mawasiliano wakiwa hewani bila shida.
Asante.
Mala nyingi ndege hulipuka na kuua abiria pale tu inapopata hitilafu huko juu,.. sijawahi kusikia abiria wameruka Kwa parachuti au miamvuli unaweza kututoa hofu hapo?Hili ni suala la kiufundi na kitaalamu.
Hata hivyo, zipo dondoo za usalama (safety tips) ambazo hutolewa kwa abiria mapema ili inapotokea hitilafu basi waweze kujihami wakati hatua nyingine za usalama zikichukuliwa.
Njia za haraka zinazofahamika inapotokea hitilafu angani (japo inategemea na level) ni pamoja na;
.- Ndege kutua kwa dharura katika eneo lolote elekezi
- Kutoa taarifa kwa vikosi vya uokozi ardhini ili kupokea abiria kutokea angani (evacuation)
- Abiria kutakiwa kuvaa jackets au miamvuli aina ya parachutes
- Mengineyo.
Asante.
Ninapokata ticket kupitia nyinyi huwa kuna gharama natakiwa kuwalipa? au..Bonheur Travels Tanzania ni Kampuni ya Wakala wa Safari (Travel Agency) yenye makao makuu yake nchini Tanzania.
Kwa maneno mengine, sisi ni wataalam wa tiketi za ndege na safari za maeneo ya kufikia (accommodation) na hata yale ya kitalii (destinations). Uwe unasafiri peke yako, na familia yako au kama timu, tunakusaidia kupata tiketi za ndege za bei rahisi na za kuaminika kwa safari za ndani na za kimataifa.
Mtu yeyote anaweza kutumia ushirikiano tulio nao na mashirika ya ndege ya ndani na ya kimataifa, kuandaa nasi safari kwa gharama nafuu na huwa tunahakikisha anawasili na kupata usafiri wa gari kutoka Uwanja wa Ndege hadi anakofikia.
Tunatoa huduma kwa watu binafsi, taasisi, mashirika na makundi mengine.
Nashukuru huu uzi imenifungua mengi maswali yangu ni haya.
1 kwann ni lazima kwenye cocpit kuna marubani wawili?
2 kwann ukikata ticketi mapema gharama inakuwa ndogo?
3 unaruhusiwa kupakata mtoto kwenye ndege kama kwenye basi?
I mean ulipie siti 1 then uende na mtoto
Bila samahani mkuu, tungependa kufafanua swali lako lakini hapo tutalazimika kuelezea kwa lugha ya kitaalamu ambayo inaweza kuleta mkanganyiko zaidi.Mkuu samahani, sijaridhika na majibu yako/yenu.
Muingiliano wa mawasiliano kivp?
angani kuna network?
Hapana, kuna umbali ukishavuka kwenda juu network connection inakata yenyewe kutokana na simu kutoweza kuunganika na minara ya mawasiliano ya kampuni husika.angani kuna network?