Elimu ni tamu sana, imagine unalipwa 335,500/= tsh per DM

Elimu ni tamu sana, imagine unalipwa 335,500/= tsh per DM

ngora

Member
Joined
Sep 17, 2018
Posts
76
Reaction score
137
Mu hali gani wajumbe,

Nawaasa kama una watoto wapo shule au hawajaanza wakazanie wasome kuna mahala ukibahatika unainjoy life hamna kifani unapiga pesa hadi unaona kama unadhulumu wengine kumbe haki yako.

Elima ni njia, elimu ni ufunguo.

Hiyo pesa nalipwa hivyo kwa miezi sita hadi project itakapoisha.

Wanafunzi msicheze na shule someni.

After the project wazee wangu nitawapa zawadi isiyo chini ya Milioni 20 bila wao nisingepata hii kitu.
 
mu hali gani wajumbe,

aisee nawaasa km una watoto wapo shule au hawajaanza wakazanie wasome aisee kuna mahala ukubahatika unainjoy life hamna kifani unapiga pesa hadi unaona km unadhulumu wengine kumbe haki yako ,,, elima ni njia , elimo ni ufunguo

hyo pesa nalipwa hivyo kwa miez sita hadi project itakapoisha ,,

wanafunzi msicheze na shule someni

after the projrct wazee wangu ntawapa zawadi isiyo chini ya 20mil bila wao nisingepata hii kitu
Hongera sana mkuu,ongezaongeza juhudi kidogo hata kwa mwezi inawezekana.
 
generally elimu yeyote yenye profetional , mimi nipo upande wa afya na maendeleo ya jamii
Kama hutojali mkuu naomba unijibu hapa kwa manufaa ya wengi

1) umesoma kada gani chuoni?
2) mpaka sasa wakati unafanya hiyo project unaelimu kiwango gani?
3) je project kama hiyo ipo kwa kawaida au imezuka tu (mara moja) na upatikanaji wake upoje mpaka uwe na connection ama vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ukipata hiy 20M uje utupe mrejesho. Hiyo pesa kwa mwezi ni ndogo sana. Haitoshi kukidhi mahitaji ya kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maelezo yake hiyo siyo atakayoipata yeye..

Hicho ni kiasi cha chini (means kinaweza kuzidi) anachotegemea kuwapa wazee wake baada ya project kama asante/zawadi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada hujitambui hopeless kabisa badala ya kufocus ni namna gani na kwa kiwango gani uta deliver huduma kutokana na majukumu ya kazi wewe miudenda inakutoka kisa perdm??

Sasa we bweteka uwe mtu wa kulewa tu kila siku unaamka na mihangover ushindwe hata kuperform as per scheduled project activities mwajiri wako taarifa zimfikie uone kama kibarua hakijaota nyasi!

Kumbuka kwamba cheo ni dhamana tu.
Muulize Kigwangala au yule Savimbi Lameck Madelu nyakati wanazopitia muda huu...!
 
Hongera mkuu bila shaka hiyo ni taasisi binafsi. Huku wafanyakazi wa umma bado tunahangaika hata increment ya Tsh. 15,000 kwa MWEZI hatuioni licha ya barua na mikataba ya kisheria kuwepo. Nyongeza za mishahara toka aondoke JK hatuijui.
Kisa? Tunasubiri mtu ajisikie!
 
Hongera mkuu,ila hiyo fedha ni nyingi
au kidogo kutegemeana na majukumu
uliyonayo kwa siku.
Mfano kuna majukumu huwezi kukwepa kutumia gari.
kula mchana na usiku na kifungua kinywa asubuhi.
Pia kuna mashirika yanakupangia hata maeneo
ya kuishi kwa sababu za kiusalama,hotel au apartments za gharama n,k
ukiainisha hayo yote angalia unabaki
na nini mkononi ,na hapo ndo utajua kama hiyo fedha ni nyingi au ndogo
hapo sijamtaja mtu anaitwa PAYE.
 
hiyo pesa nalipwa hivyo kwa miezi sita hadi project itakapoisha.

wanafunzi msicheze na shule someni.

After the project wazee wangu nitawapa zawadi isiyo chini ya Milioni 20 bila wao nisingepata hii kitu.
[/QUOTE]hongera muongo, ila ni vizuri kuota ndoto njema hususani mchana
 
Back
Top Bottom