Elimu ni tamu sana, imagine unalipwa 335,500/= tsh per DM

Elimu ni tamu sana, imagine unalipwa 335,500/= tsh per DM

Mu hali gani wajumbe,

Nawaasa kama una watoto wapo shule au hawajaanza wakazanie wasome kuna mahala ukibahatika unainjoy life hamna kifani unapiga pesa hadi unaona kama unadhulumu wengine kumbe haki yako.

Elima ni njia, elimu ni ufunguo.

Hiyo pesa nalipwa hivyo kwa miezi sita hadi project itakapoisha.

Wanafunzi msicheze na shule someni.

After the project wazee wangu nitawapa zawadi isiyo chini ya Milioni 20 bila wao nisingepata hii kitu.
Hapo ni kama 60.3M ingekuwa unaweza ku-inject kwenye biashara ningekushauri hivyo lkn kama upo tite that much, jitahidi hata usimakishe mjengo wako mkuu......!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom