Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Tuko tofauti.Kweli mkuu. Pesa watu wanazishika ila hawapigi kelele. Mathalani nikienda kwa conference nakula per diem ya dola 447 na life linasonga tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku watu tunapiga mpaka zaidi ya $5,000 kimyakimya.
Lakini kujidai kwa aliyofanya nako ni sehemu ya "freedom of speech".
Sent using Jamii Forums mobile app