Elimu ni tamu sana, imagine unalipwa 335,500/= tsh per DM

Elimu ni tamu sana, imagine unalipwa 335,500/= tsh per DM

Yaani ukipiga Hiyo kwa mwezi jumla ni 10,000,000/- automatically unakuwa ushaingia Kwenye orodha ya wafanyakazi wenye kipato cha Juu,
 
generally elimu yeyote yenye profetional , mimi nipo upande wa afya na maendeleo ya jamii
Mkuu kama neno hili profession unaandika "profetional" na hapa najua ulitaka uandike "professional" ambayo pia siyo sahihi. Nina wasiwasi na elimu yako, hata hivo zari la mentali linaweza kukudondokea kwa nadra sana. Sidhani kama unatarajia kupata mchongo kama huu tena maishani hivo jipange usikosee.
 
Hujasema tayari umeajiriwa?. Kwanza hongera. Ila kwa maelezo yako hiyo hela tayari imekuchanganya tayari. Nafikiri sababu ya umri. Nakushauri tulia isije ikakupa kichaa ukawa unashinda bar. Halafu chunga hiyo hela weka akiba,ukimaliza hiyo project ya miezi 6 utajikuta unasotea kazi tena kwa muda mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ushauri asiuache. Keshapata wenge tayari. Akumbuke mipango si matumizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu mna chuki!? Wapi mtoa mada kasema yeye ni mjanja?

.
Eti Ontario anaingizia milioni kwa kila sekunde. HAHAHAH..Nigga please!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada amekosa uelewa,
Amesahau kuwa kuna watu wamesoma Kama yeye, na wamepata grades kama zake na bado either hawana kazi, au wamejishikiza kwa volunteer au wana kazi ila mshahara wao kwa mwezi mzima haufiki hata hiyo per dm yake ya siku moja,

Je hapo shida ni kutokusoma!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujasema tayari umeajiriwa?. Kwanza hongera. Ila kwa maelezo yako hiyo hela tayari imekuchanganya tayari. Nafikiri sababu ya umri. Nakushauri tulia isije ikakupa kichaa ukawa unashinda bar. Halafu chunga hiyo hela weka akiba,ukimaliza hiyo project ya miezi 6 utajikuta unasotea kazi tena kwa muda mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea point sana
 
Hiyo pesa 60M haifikii hata bei ya ile gari ya ONTARIO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe we ni don kabisa mkuu

BTW, Per Dm ndio per diem?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom