Hongera sana mkuu,ongezaongeza juhudi kidogo hata kwa mwezi inawezekana.mu hali gani wajumbe,
aisee nawaasa km una watoto wapo shule au hawajaanza wakazanie wasome aisee kuna mahala ukubahatika unainjoy life hamna kifani unapiga pesa hadi unaona km unadhulumu wengine kumbe haki yako ,,, elima ni njia , elimo ni ufunguo
hyo pesa nalipwa hivyo kwa miez sita hadi project itakapoisha ,,
wanafunzi msicheze na shule someni
after the projrct wazee wangu ntawapa zawadi isiyo chini ya 20mil bila wao nisingepata hii kitu
Watu mna chuki!? Wapi mtoa mada kasema yeye ni mjanja?Sasa umejiona mjanja sana kupiga huto tu mil 20 kwa miezi 6 je ungekuwa Ontario anayepiga milioni mil 1 kwa kila sekunde ingekuaje
Kuna sehemu kasema yeye ni mjanja? Ulichoongea na alichoongea ni tofauti kabisa. Na hujaelewaSasa umejiona mjanja sana kupiga huto tu mil 20 kwa miezi 6 je ungekuwa Ontario anayepiga milioni mil 1 kwa kila sekunde ingekuaje
mimi sio mjanja , majukumu tu yameniangukiaSasa umejiona mjanja sana kupiga huto tu mil 20 kwa miezi 6 je ungekuwa Ontario anayepiga milioni mil 1 kwa kila sekunde ingekuaje
generally elimu yeyote yenye profetional , mimi nipo upande wa afya na maendeleo ya jamii
Kama hutojali mkuu naomba unijibu hapa kwa manufaa ya wengigenerally elimu yeyote yenye profetional , mimi nipo upande wa afya na maendeleo ya jamii
Kwa maelezo yake hiyo siyo atakayoipata yeye..Siku ukipata hiy 20M uje utupe mrejesho. Hiyo pesa kwa mwezi ni ndogo sana. Haitoshi kukidhi mahitaji ya kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app