Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

Ni kweli kabisa...mitoto huko

Inakuwa na tamaduni za kimagharibi

Mpaka inapitiliza

Suala la ushoga,kuvuta unga nk mtoto

Anaweza jifunzia huko

Siyo International school zote zinafundisha watoto nidhamu

Ova
Kuna sheria za nchi lazima zifuatwe kwa kila taasisi haijalishi ni ya Tz ama ya nje.

Suala la maadili lipo kwa mtu binafsi zaidi, watoto wote wa shule za kata na private wana maadili ?
 
Ukiona unam refer mwanasiasa kama mtu aliyefanikiwa,ujue upo katika shithole country tayari.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu nimecheka sana aisee,

Sent from my Pixel 4 using JamiiForums mobile app
Asilimia 90 ya watu wanaomaliza shule kwenye hizi elimu za 'kumi bora' na mpaka kufika chuo kikuu na kumaliza hawana uwezo binafsi wa kujieleza na kujiamini katika lugha zote kikiwepo na hiki kiswahili chetu.

Sasa utakaa hapa utajisifia na 'kumi bora' zinazozalisha watu wasioweza kushindana hata na wasomi wa hapo Kenya?

Wasomi wetu wakipelekwa kwenye majukwaa ya kimataifa huko wanajikanyaga, wote tuliona maprofesa wakishindwa hata kujieleza vizuri mbele ya vitoto vidogo tu vya kizungu kwenye kesi za mikataba ya madini huko.

Bora Diamond aliyeamua kumpeleka mtoto wake kwenye elimu sahihi inayoendana na soko kwa sasa.
 
Diamond alitamani kumpeleka mwanae IST lakini mfuko haujaruhusu 😂 (Joking)
 
Wapo wengi sana, sema ni vipanga. Nenda Instagram page ya Tansao ujionee.
 
Kwani hao waliosoma huko Uraisi wanataka?
Yaani mtoto wa Bakhresa aache kusimamia biashara za baba ake za ma trilioni, aje kusimangana na CCM kuutaka Uraisi?

#YNWA
 
Tatizo la elimu ni kwamba yan wewe unasoma yale ambayo wenzako tayari anayajua na weng wao hayajawasaidia lolote(hususan ktk swala zima la ajira).note; akili ni ufunguo wa maisha na sio elimu
 
Naongezea, mfano wa waliosoma huko ni looser Sepetunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…