Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

Hapo Braeburn hakunaga ada ya Milioni 10 ada ndogo kabisa ni Milioni karibu 21

Angalia fees structure hii bila kuweka transport

Huyo dogo Naseeb Jr, yuko kwenye FS1 ambayo ni dollar 9390 kibongo bongo ni milioni 21

View attachment 2812674
Kabisa mkuu nilitaka niseme....

ninapoishi kuna shule ya braeburn nursery ada 33M/mwaka.
 

Kuna mtu Dar hii hii wala afahamiki, ana biashara Hapo Kindondoni, anamlipia mwanae 35m a year! Nursery.
 
Kwasababu ni matajiri hawana msukumo wa kuingia kwenye siasa na kufanya mambo makubwa.

maisha yao yashanyooka
 
Kwani kuteka kukoje? Kuna kuteka kiholela na kijasiri? Mimi si shabiki wa Diamond lakini kwenye hilo siyo kitu kizuri ku reveal
Kila mtoto anaesoma Braeburn ni mtoto wa kishua haswa pengine huyo Diamond ndo miongoni mwa maskini hapo kwahiyo kila mtoto hapo ni hela lakini jiulize kwanini hawaendi kuteka
Suala la ulinzi limezingatiwa labda akatekwe akiwa mikononi kwa babaake
 
Umefanya makosa kutaja shule anayosoma mtoto wa Diamond. Watu wenye nia mbaya wanaweza kum kidnap na kumtaka ransom kuutoka kwa wazazi wake. Naamini hata Braeburn School wakiona hii thread hawatapendezwa
Wamepost wenyewe hiyo picha na jengo la shule hilo hapo.
Kama mtu hajui ni shule gani ana Google tu hiyo picha hapo anajua.
 
Hayo mengine yote ni jeuri ya Pesa tu! Ila hatutakuja kupata rais alisoma IST na huko Braeburn. Kama unabisha subiri.
Watoto wanaosoma hizo shule kama IST ni wa wafanyabiashara wakubwa hawana njaa za kuingia kwenye msoto wa siasa mpaka watoboe.

Tayari pesa wamezikuta nyumbani wanaenda kusoma kuja kuendeleza biashara za familia.

Mfano ni Mohammed Dewji ni alumnus wa IST
 
Asante mtoa taarifa
Peopleeeeeeeeeees!
 
Hivi mtoto Mwigulu,si niliona yupo Feza,hivi kwanini hamleti huku Kayumba,au hajui umuhimu wa Kayumba kwenye kutuletea marais?
Magu seminari,Mkapa seminari,Nyerere n.k. sijui wapi huko,labda itokee bahati.
 
Hivi mtoto Mwigulu,si niliona yupo Feza,hivi kwanini hamleti huku Kayumba,au hajui umuhimu wa Kayumba kwenye kutuletea marais?
Magu seminari,Mkapa seminari,Nyerere n.k. sijui wapi huko,labda itokee bahati.
Watu mashuhuri wengi wenye nafasi kubwa serikalini na kwenye nchi hawanaga hizo mambo.... Shule yao kubwa ni Feza. Zamani walikuwa wanapeleka watoto Shaaban Robert labda na Aga-khan na Al-muntazir.

Nilishangaa yule mtoto wa J.K wa mwisho (Rashid J.K) alipelekwa Advanced level (I.S.M) baada ya kutoka Feza.
 
Nani alikwambia wanaoingia kwenye Siasa wanasota sana mpaka watoboe?! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Na unayemjua wewe ni Mohammed Dewji tu au sio?! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Noma sana!
 
Noma sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…