Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

Nani alikwambia wanaoingia kwenye Siasa wanasota sana mpaka watoboe?! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Na unayemjua wewe ni Mohammed Dewji tu au sio?! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kwenye siasa usipikuwa na wa kukushika mkono hutoboi kirahisi utasota sana

Nimetoa tu mfano wa mtu prominent kuonyesha mfano wa aina ya watu wanaosoma IST hawana njaa
 
Na huu ndio ukweli usiopingika wa maisha: Usiwasomeshe watoto wako kuwa matajiri, wafundishe kumjua Mungu,Yeye atawapa utajiri. Kwa njia hiyo watakuwa na furaha ya kweli. Kwa njia hiyo pia watakapokuwa wakubwa watajua thamani ya vitu na sio bei.
 
Utabaki hivyo hivyo na hizo kumi bora zako, mtu anamaliza chuo kikuu anaenda kujiajiri kulima matembele na mchicha.
na umesahau Kenge wewe kwamba UTI WA MGONGO wa Mtanzania (including wewe mjinga mjinga) ni KILIMO.

Ushuzi uliotoa hapa baada ya kushiba chips kavu ni zao la mkulima Pumbafuck wewe
 
Mashallah, Nassibu amevunja generation curse.

Na sisi kila mmoja wetu kwa nafasi yake mwenyezi Mungu atujalie tuweke utofauti na waliotutangulia katika familia na koo zetu.
Hapa ndotofauti zilipo kuna mtu mwingine anakwambia kwakua me nilisoma bila viatu tena kwa kutembea basi na mtoto wangu atasoma shule za kutembea hamna mambo ya schoolbus[emoji28]
 
Hapa ndotofauti zilipo kuna mtu mwingine anakwambia kwakua me nilisoma bila viatu tena kwa kutembea basi na mtoto wangu atasoma shule za kutembea hamna mambo ya schoolbus[emoji28]
Roho mbaya tu za kibongo. Kama umepata wape watoto utofauti as long as ukipiga picha ya miaka 15 mbele bado unajiona pazuri kipesa na kiuwekezaji.
 
Uzi na kilichozungumzwa ni vitu viwili tofauti.

Unapoizungumzia "Elimu ni ufunguo wa maisha" sio lazima iwe ya International school... huenda Point yako ulitaka kutuhabarisha kwamba mtoto wa bwana Diamond anasoma Braeburn, sasa sijui tukuchinjie mbuzi au tukupigie makofi. Unajua mwenyewe

Hatuna Rais, Makamo, PM wala kigogo yoyote mwinginewe aliyesoma huko... na wanaishi ndani ya true definition of "Elimu ni ufunguo wa maisha"

Hayo mengine yote ni jeuri ya Pesa tu! Ila hatutakuja kupata rais alisoma IST na huko Braeburn. Kama unabisha subiri.
Brother we unawaza siasa tu? Hawa wa hizi shule huwakuti huko kwenye siasa za CCM na majitaka mengine labda aambiwe gombea tukupe hiki.

Hawa wanakuwaga maCEO, ndio wanaongelea mishahara ya mpaka 36M au kuendesha makampuni ya wazazi wao.
 
Back
Top Bottom