Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kwenye siasa usipikuwa na wa kukushika mkono hutoboi kirahisi utasota sanaNani alikwambia wanaoingia kwenye Siasa wanasota sana mpaka watoboe?! πππ
Na unayemjua wewe ni Mohammed Dewji tu au sio?! πππ
Na hio ni shule ambayo hata haipo kumi bora kitaifa..
wameifikisha nchi wapi ?Hatuna Rais, Makamo, PM wala kigogo yoyote mwinginewe aliyesoma huko... na wanaishi ndani ya true definition of "Elimu ni ufunguo wa maisha"
na umesahau Kenge wewe kwamba UTI WA MGONGO wa Mtanzania (including wewe mjinga mjinga) ni KILIMO.Utabaki hivyo hivyo na hizo kumi bora zako, mtu anamaliza chuo kikuu anaenda kujiajiri kulima matembele na mchicha.
na umesahau Kenge wewe kwamba UTI WA MGONGO wa Mtanzania (including wewe mjinga mjinga) ni KILIMO.
Ushuzi uliotoa hapa baada ya kushiba chips kavu ni zao la mkulima Pumbafuck wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si angalau hata wewe umesoma English medium.
Mi ilifika hatua nyumban hamna taa nikawa nasoma kwa hisia kwa kupapasa daftari huku nimefunga macho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utabaki hivyo hivyo na hizo kumi bora zako, mtu anamaliza chuo kikuu anaenda kujiajiri kulima matembele na mchicha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mnachekesha mno.Sijawahi kusikia walimu kwenye hizi shule wakilalamika kuhusu masilahi[emoji23][emoji23]
Wengi ni wazungu, wayahudi, wahindi na wakorea, wanalipwa huko huko kwenye nchi zao ambako kuna sheria zinazolinda sana maslahi yaoSijawahi kusikia walimu kwenye hizi shule wakilalamika kuhusu masilahiππ
Hapa ndotofauti zilipo kuna mtu mwingine anakwambia kwakua me nilisoma bila viatu tena kwa kutembea basi na mtoto wangu atasoma shule za kutembea hamna mambo ya schoolbus[emoji28]Mashallah, Nassibu amevunja generation curse.
Na sisi kila mmoja wetu kwa nafasi yake mwenyezi Mungu atujalie tuweke utofauti na waliotutangulia katika familia na koo zetu.
Roho mbaya tu za kibongo. Kama umepata wape watoto utofauti as long as ukipiga picha ya miaka 15 mbele bado unajiona pazuri kipesa na kiuwekezaji.Hapa ndotofauti zilipo kuna mtu mwingine anakwambia kwakua me nilisoma bila viatu tena kwa kutembea basi na mtoto wangu atasoma shule za kutembea hamna mambo ya schoolbus[emoji28]
Brother we unawaza siasa tu? Hawa wa hizi shule huwakuti huko kwenye siasa za CCM na majitaka mengine labda aambiwe gombea tukupe hiki.Uzi na kilichozungumzwa ni vitu viwili tofauti.
Unapoizungumzia "Elimu ni ufunguo wa maisha" sio lazima iwe ya International school... huenda Point yako ulitaka kutuhabarisha kwamba mtoto wa bwana Diamond anasoma Braeburn, sasa sijui tukuchinjie mbuzi au tukupigie makofi. Unajua mwenyewe
Hatuna Rais, Makamo, PM wala kigogo yoyote mwinginewe aliyesoma huko... na wanaishi ndani ya true definition of "Elimu ni ufunguo wa maisha"
Hayo mengine yote ni jeuri ya Pesa tu! Ila hatutakuja kupata rais alisoma IST na huko Braeburn. Kama unabisha subiri.
Yupo Tusiime, nayo ni shule nzuri si habaMtoto wa kiba anasoma perfect vision
Kuna jirani yetu ana maisha mazuri sanaSijawahi kusikia walimu kwenye hizi shule wakilalamika kuhusu masilahiππ
Ngoja nimtag mpwayungu[emoji28]Sijawahi kusikia walimu kwenye hizi shule wakilalamika kuhusu masilahi[emoji23][emoji23]