mike2k
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 1,571
- 3,448
Uyaone wewe kama nani? Peleka mtoto wako hapo utayaona sana tu.sasa kwanini matokeo yao huwa hatuyaoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyaone wewe kama nani? Peleka mtoto wako hapo utayaona sana tu.sasa kwanini matokeo yao huwa hatuyaoni?
Si kweli, angekuwa mtangazaji kwa redio za watu tu huko Mombasa na kupewa gari bosheni siku ya birthday, kaondoka na nguo zake tu.Yule hana njaa kama dada zetu wa kibongo yeye alitaka umaarufu tu sio pesa
Yule dada familia yake ipo vizuri financially sema alihitaji platform ya kuwa maarufu Ndio Maana ukamuona kwenye redio pia video queen ilivyotokea chance ya kuwa na diamond Ndio akaona tobo lakeSi kweli, angekuwa mtangazaji kwa redio za watu tu, na kupewa gari bosheni siku ya birthday, kaondoka na nguo zake tu.
Hahahahahaa mkuu mbona St bhakhita nmecheka mnoo. Kuna shule Njombe unaitwa St. Bakhita ndio nikaifikiria hiyo jinsi watoto walivyo free tena ipo lami kabisa nmecheka mnooBraeburn siyo St bakhita pre& primary school
Huwezi kwenda kuteka kiholela hapo
Maarufu kautaka ndio, Ila kwa umri ule ni mzuri mtoto kuwa kwa mzazi wa kiume, au yeye alivyokuja kuishi kiolela bongo, familia Bora wanafurahia hayo Mambo ?zari anavyozipokea choka mbaya au mdada wa kibongo naye? Yule mwepesi wamemuweza, zari kiboko ya Mambo na ndio mana bosslady pesa mingi na bado anazipokea za watoto.Yule dada familia yake ipo vizuri financially sema alihitaji platform ya kuwa maarufu Ndio Maana ukamuona kwenye redio pia video queen ilivyotokea chance ya kuwa na diamond Ndio akaona tobo lake
Anaweza kusoma hapa hapa tu bongo, hata huko mtoni kuna international schools, utofauti ni suala la sheria za nchi hasa kwenye kuzibana shule zifuate maadili ya nchiMil 20 kwa mwaka sio hela nyingi Mimi mwanangu lazima asome mtoni chekechea Hadi chuo kikuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi nyie watu khaaKivipi wakati hawatumii mtaala wa NECTA? We jamaa una uhakika wa kupata milo mitatu kwa siku?
mbona hasira mkuu wakati hata ada robo muhula huwezi kulipa?Uyaone wewe kama nani? Peleka mtoto wako hapo utayaona sana tu.
Anaweza kusoma hapa hapa tu bongo, hata huko mtoni kuna international schools, utofauti ni suala la sheria za nchi hasa kwenye kuzibana shule zifuate maadili ya nchi
Sijui kuhusu vip, ila mtu anayemtaka mtoto wa diamond, awe na uwezo wa kumteka from International school, kujua mtoto wa diamond anasoma shule gani ni kazi easy sanaaaaa, wala haihitaji kuteseka, unless awe kibaka tu wa mtaani 🤣🤣 ambae hataweza kumteka mtoto huko kwa ulinzi wa International schools,Kwani kuteka kukoje? Kuna kuteka kiholela na kijasiri? Mimi si shabiki wa Diamond lakini kwenye hilo siyo kitu kizuri ku reveal
POLE SANA! HUNA UJUALO... ILA UMASIKINI NDO UNAWAFANYAGA MSITHAMINI VYA KWENU.Urais haswa wa nchi za kiafrika ni Lazima uwe na Tabia fulan za kitapeli tapeli na uongo ili uupate,
Hao watoto wanaosoma hizo shule wanafundishwa Maadili na Nidhamu kwahiyo hivyo vijitabia vya utapeli tapeli wanakuwa hawana.
Ni mwanae anaitwa "Rashid J.K" si ndo alimaliza pale yule dogo... ni mtoto wake wa mwisho kabisa wa kumzaa na Bi. Mkubwa Mama salma.Kikwete wakati fulani alikuwa ktk shule moja huko moshi International na kijana wake au mjukuu...
Acha utani[emoji1787][emoji1787]Mtoto wa kiba anasoma perfect vision
Acha utani[emoji1787][emoji1787]Mtoto wa kiba anasoma perfect vision
Acha utani[emoji1787][emoji1787]Mtoto wa kiba anasoma perfect vision
Ccm huo mfumo wanaotokea zamaniMkuu huko tuendako watoto wa hawa viongozi wa sasa ndo wanaenda kuwa viongozi wa hili taifa na kwa taarifa yako ni kuwa sio upinzani wala CCM ni kwamba vigogo wote wanasomesha watoto hizi shule kali. Kama huamini fuatilia UVCCM ya sasa viongozi wake ni kina nani... tayari wa kishua Jokate ni boss UWT. Mbowe nae anamrithisha chama mwanae aitwae James ambaye kasoma Nje. Acha hizo fikra zilizopitwa na wakati
Halmashauri afanye nnBilashaka hao huwezi kuwakuta kwenye halmashauri.
Ni kweli kabisa...mitoto hukoPOLE SANA! HUNA UJUALO... ILA UMASIKINI NDO UNAWAFANYAGA MSITHAMINI VYA KWENU.
NITAKUDOKEZA TU KWAMBA HIZO SHULE MNAZOZIONAGA NYINYI ZA MAANA NA ZA MATAJIRI NDO MTOTO KUWA SHOGA NA MSAGAJI AU KUSAGANA NI FREE!
NA WANAFUNDISHWA... MITOTO IMEJAA INAKULA BANGE NA MAUNGA NA UTAKUTA DUME LINA BWANA'AKE... JIKE NA DEMU WAKE.
MARUFUKU MWALIMU KUMFOKEA MTOTO HATA KUMKATAZA KITU HATA AKIWEKA MGUU JUU YA MEZA.
KAMA MNAJIDANGANYAGA WANA NIDHAMU NA AKILI POLENI
SERIKALI SIO WAJINGA KUTO-DEAL NA HAO WATOTO KUWA VIONGOZI WA NCHI HATA KAMA NI WAZAWA.