Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

Yule dada familia yake ipo vizuri financially sema alihitaji platform ya kuwa maarufu Ndio Maana ukamuona kwenye redio pia video queen ilivyotokea chance ya kuwa na diamond Ndio akaona tobo lake
Maarufu kautaka ndio, Ila kwa umri ule ni mzuri mtoto kuwa kwa mzazi wa kiume, au yeye alivyokuja kuishi kiolela bongo, familia Bora wanafurahia hayo Mambo ?zari anavyozipokea choka mbaya au mdada wa kibongo naye? Yule mwepesi wamemuweza, zari kiboko ya Mambo na ndio mana bosslady pesa mingi na bado anazipokea za watoto.
 
Kweli nikupambana ili watoto waishi vizuri Mimi sijasoma hizo ila nimesoma Kemebos 4-5Mil kwa mwaka so ni swala la wazazi kuwapambania watoto.
Anaweza kusoma hapa hapa tu bongo, hata huko mtoni kuna international schools, utofauti ni suala la sheria za nchi hasa kwenye kuzibana shule zifuate maadili ya nchi
 
Kwani kuteka kukoje? Kuna kuteka kiholela na kijasiri? Mimi si shabiki wa Diamond lakini kwenye hilo siyo kitu kizuri ku reveal
Sijui kuhusu vip, ila mtu anayemtaka mtoto wa diamond, awe na uwezo wa kumteka from International school, kujua mtoto wa diamond anasoma shule gani ni kazi easy sanaaaaa, wala haihitaji kuteseka, unless awe kibaka tu wa mtaani 🤣🤣 ambae hataweza kumteka mtoto huko kwa ulinzi wa International schools,

Most important nchi yetu kesi za kutekana hazipo kabisa
 
Urais haswa wa nchi za kiafrika ni Lazima uwe na Tabia fulan za kitapeli tapeli na uongo ili uupate,

Hao watoto wanaosoma hizo shule wanafundishwa Maadili na Nidhamu kwahiyo hivyo vijitabia vya utapeli tapeli wanakuwa hawana.
POLE SANA! HUNA UJUALO... ILA UMASIKINI NDO UNAWAFANYAGA MSITHAMINI VYA KWENU.

NITAKUDOKEZA TU KWAMBA HIZO SHULE MNAZOZIONAGA NYINYI ZA MAANA NA ZA MATAJIRI NDO MTOTO KUWA SHOGA NA MSAGAJI AU KUSAGANA NI FREE!

NA WANAFUNDISHWA... MITOTO IMEJAA INAKULA BANGE NA MAUNGA NA UTAKUTA DUME LINA BWANA'AKE... JIKE NA DEMU WAKE.

MARUFUKU MWALIMU KUMFOKEA MTOTO HATA KUMKATAZA KITU HATA AKIWEKA MGUU JUU YA MEZA.

KAMA MNAJIDANGANYAGA WANA NIDHAMU NA AKILI POLENI

SERIKALI SIO WAJINGA KUTO-DEAL NA HAO WATOTO KUWA VIONGOZI WA NCHI HATA KAMA NI WAZAWA.
 
Mkuu huko tuendako watoto wa hawa viongozi wa sasa ndo wanaenda kuwa viongozi wa hili taifa na kwa taarifa yako ni kuwa sio upinzani wala CCM ni kwamba vigogo wote wanasomesha watoto hizi shule kali. Kama huamini fuatilia UVCCM ya sasa viongozi wake ni kina nani... tayari wa kishua Jokate ni boss UWT. Mbowe nae anamrithisha chama mwanae aitwae James ambaye kasoma Nje. Acha hizo fikra zilizopitwa na wakati
Ccm huo mfumo wanaotokea zamani
Wa familia zao kushika mpini kwenye uongozi

Ova
 
POLE SANA! HUNA UJUALO... ILA UMASIKINI NDO UNAWAFANYAGA MSITHAMINI VYA KWENU.

NITAKUDOKEZA TU KWAMBA HIZO SHULE MNAZOZIONAGA NYINYI ZA MAANA NA ZA MATAJIRI NDO MTOTO KUWA SHOGA NA MSAGAJI AU KUSAGANA NI FREE!

NA WANAFUNDISHWA... MITOTO IMEJAA INAKULA BANGE NA MAUNGA NA UTAKUTA DUME LINA BWANA'AKE... JIKE NA DEMU WAKE.

MARUFUKU MWALIMU KUMFOKEA MTOTO HATA KUMKATAZA KITU HATA AKIWEKA MGUU JUU YA MEZA.

KAMA MNAJIDANGANYAGA WANA NIDHAMU NA AKILI POLENI

SERIKALI SIO WAJINGA KUTO-DEAL NA HAO WATOTO KUWA VIONGOZI WA NCHI HATA KAMA NI WAZAWA.
Ni kweli kabisa...mitoto huko

Inakuwa na tamaduni za kimagharibi

Mpaka inapitiliza

Suala la ushoga,kuvuta unga nk mtoto

Anaweza jifunzia huko

Siyo International school zote zinafundisha watoto nidhamu

Ova
 
Back
Top Bottom