The Genius
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 822
- 2,095
- Thread starter
- #21
Umenifanya nichekeKwa udadavuzi wa mada yako hii, imenifanya nishinde bila raha kutokana na mapungufu niliyonayo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenifanya nichekeKwa udadavuzi wa mada yako hii, imenifanya nishinde bila raha kutokana na mapungufu niliyonayo!!
Hata mapadri na masheikh wapo ambao wanafanya madhambi yao nyuma ya utumishi wa dini zao hilo halikwepeki.Ila kumbuka kuna Mawakili kibao tu wanashiriki kwenye haya mauzo ya kiujanjanjaa tu,na mwisho wa siku nao wanakuta wanashitakiwa!!
hyo syo issue kubwa sabab wengine hufnyaga hizo biashara wakiwa hawana passport so baadae huambatanisha na pia muhimu zaid ni hyo mihuri kuwepo na sahihi zao pamoja na mashahidiMkuu mbona mihuri ipo chini ya picha badala ya kua juu ya picha? naomba kuelimishwa.