Elimu ya ardhi mgogoro wa Makonda na GSM

Ila kumbuka kuna Mawakili kibao tu wanashiriki kwenye haya mauzo ya kiujanjanjaa tu,na mwisho wa siku nao wanakuta wanashitakiwa!!
Hata mapadri na masheikh wapo ambao wanafanya madhambi yao nyuma ya utumishi wa dini zao hilo halikwepeki.
 
Mkuu mbona mihuri ipo chini ya picha badala ya kua juu ya picha? naomba kuelimishwa.
hyo syo issue kubwa sabab wengine hufnyaga hizo biashara wakiwa hawana passport so baadae huambatanisha na pia muhimu zaid ni hyo mihuri kuwepo na sahihi zao pamoja na mashahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…