OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
-
- #41
Kwani shida yako hasa nini, halafu ukishajua quality ya chuo inakuaje?
Mbona sisi hatuhoji migpa mikubwaa mnayopeana huko kwenye saint zenu?
Acha choko choko dada, kama huna la kufanya tafuta mume uolewe sio unaamka asubuhi asubuhi na ge.nye za kuchokoa wanaume.
Kama jibu langu halijakutosha nenda kaulize pale pale chuoni, nadhani watakuwa na jibu mujarab.
Asalam aleikum!!Wakuu mwenye data kuhusu quality ya chuo hiki,naona kama chuo kiko kimya hivi tofauti kabisa na SAUT,au kozi zao ni za kimya-kimya hamtaki wengine tujue.Nataka kujua pia kama na sisi wa imani zingine tunaruhusiwa kujoini?.Please usichangie kwa mihemko ya kiimani

NSSF au UDOM
Inategemea unataka kwenda kusoma nini. Lakini mitaala yake siyo mizuri. Kuna masomo kadhaa ya dini ya Kiislamu hasa mwaka wa kwanza, nadhani na wa pili - huenda ikakuwia vigumu.
Vile vile chuo hakina walimu wenye sifa za kutosha. Hili linaweza kuwa siyo tatizo kubwa sana kwani vyuo vingi Tanzania vinakabiliwa na hilo tatizo. Lakini masomo ya lazima ya kidini kwenye Chuo Kikuu ni tatizo
Muhemko si huo umejitokeza through your BACK DOOR of thinking ulipoweka MUM vs SAUT, yaani hukuhisi kitu wakati wazo hilo likikutoka?????!!!
Umakini umeupeleka wapi, huko nyuma hukuwa hivo kabisa!!!!!!
tunataka kujua ubora wa chuo!!haya mengine ni hangover za daku ya kitimoto na bangi.pale wanasoma watu sio misukule,wengine hapa ni waajiri
Watanzania ifike mahali tujitambue...watu wa aina hii ambao wanaleta mada za uchochezi ili watu waanze kutoleana kejeli kwa imani zao tuwe tunawapotezea...hii ndio itakuwa dawa ya watu wenye akili za kuku...huna lolote uchonganishi tu....
Mkuu naweza kuboresha ili nisieleweke vibaya,ila nijuze ubora wa elimu ya MUM
Sasa dadaangu si uingie website yao uone lol! Lkn umeolewa?
Mkuu naweza kuboresha ili nisieleweke vibaya,ila nijuze ubora wa elimu ya MUM
"Tunataka kujua" wewe na nani? Ukiwa kama nani? Ili iwe nini?
Nimekushauri nenda chuoni kwao, watakwambia wanatoa course gani, wanatoa wahitimu wangapi kila mwaka, idadi ya walimu, hali ya mazingira ya kujisomea na tathimini zote...
Na hapa sijui unataka/mnataka kujudge hiyo quality kwa kutumia Norm refernce au Criteria refernce....
Asalam aleikum!!Wakuu mwenye data kuhusu quality ya chuo hiki,naona kama chuo kiko kimya hivi tofauti kabisa na SAUT,au kozi zao ni za kimya-kimya hamtaki wengine tujue.Nataka kujua pia kama na sisi wa imani zingine tunaruhusiwa kujoini?.Please usichangie kwa mihemko ya kiimani
ndo mana nakwambia we mpuuzi,kwa nini upo sasa humu Jf,hapa tunapashana habari,sema umejishtukia na huna majibu,acha wenge"Tunataka kujua" wewe na nani? Ukiwa kama nani? Ili iwe nini?
Nimekushauri nenda chuoni kwao, watakwambia wanatoa course gani, wanatoa wahitimu wangapi kila mwaka, idadi ya walimu, hali ya mazingira ya kujisomea na tathimini zote
Kwani mleta thread ni mdada?
We unayejiita Kilembwe hii ni "objective enquiry" ?????!!!!!!wenyewe watajibu,tuvute subra watupe ILMU!''Ahsanta''