Elimu ya Chuo cha Kiislam Morogoro

Elimu ya Chuo cha Kiislam Morogoro

Status
Not open for further replies.
Kwani shida yako hasa nini, halafu ukishajua quality ya chuo inakuaje?
Mbona sisi hatuhoji migpa mikubwaa mnayopeana huko kwenye saint zenu?

Acha choko choko dada, kama huna la kufanya tafuta mume uolewe sio unaamka asubuhi asubuhi na ge.nye za kuchokoa wanaume.

Kama jibu langu halijakutosha nenda kaulize pale pale chuoni, nadhani watakuwa na jibu mujarab.

tunataka kujua ubora wa chuo!!haya mengine ni hangover za daku ya kitimoto na bangi.pale wanasoma watu sio misukule,wengine hapa ni waajiri
 
Asalam aleikum!!Wakuu mwenye data kuhusu quality ya chuo hiki,naona kama chuo kiko kimya hivi tofauti kabisa na SAUT,au kozi zao ni za kimya-kimya hamtaki wengine tujue.Nataka kujua pia kama na sisi wa imani zingine tunaruhusiwa kujoini?.Please usichangie kwa mihemko ya kiimani

Inategemea unataka kwenda kusoma nini. Lakini mitaala yake siyo mizuri. Kuna masomo kadhaa ya dini ya Kiislamu hasa mwaka wa kwanza, nadhani na wa pili - huenda ikakuwia vigumu.

Vile vile chuo hakina walimu wenye sifa za kutosha. Hili linaweza kuwa siyo tatizo kubwa sana kwani vyuo vingi Tanzania vinakabiliwa na hilo tatizo. Lakini masomo ya lazima ya kidini kwenye Chuo Kikuu ni tatizo
 
Muhemko si huo umejitokeza through your BACK DOOR of thinking ulipoweka MUM vs SAUT, yaani hukuhisi kitu wakati wazo hilo likikutoka?????!!!

Umakini umeupeleka wapi, huko nyuma hukuwa hivo kabisa!!!!!!
 
Watanzania ifike mahali tujitambue...watu wa aina hii ambao wanaleta mada za uchochezi ili watu waanze kutoleana kejeli kwa imani zao tuwe tunawapotezea...hii ndio itakuwa dawa ya watu wenye akili za kuku...huna lolote uchonganishi tu....
 
Mkuu asante sana,ni kozi kwa mfano wanafanya vizuri pamoja na mapungufu mengine?
 
Muhemko si huo umejitokeza through your BACK DOOR of thinking ulipoweka MUM vs SAUT, yaani hukuhisi kitu wakati wazo hilo likikutoka?????!!!

Umakini umeupeleka wapi, huko nyuma hukuwa hivo kabisa!!!!!!

Mkuu naweza kuboresha ili nisieleweke vibaya,ila nijuze ubora wa elimu ya MUM
 
tunataka kujua ubora wa chuo!!haya mengine ni hangover za daku ya kitimoto na bangi.pale wanasoma watu sio misukule,wengine hapa ni waajiri

"Tunataka kujua" wewe na nani? Ukiwa kama nani? Ili iwe nini?

Nimekushauri nenda chuoni kwao, watakwambia wanatoa course gani, wanatoa wahitimu wangapi kila mwaka, idadi ya walimu, hali ya mazingira ya kujisomea na tathimini zote...

Na hapa sijui unataka/mnataka kujudge hiyo quality kwa kutumia Norm refernce au Criteria refernce....
 
Watanzania ifike mahali tujitambue...watu wa aina hii ambao wanaleta mada za uchochezi ili watu waanze kutoleana kejeli kwa imani zao tuwe tunawapotezea...hii ndio itakuwa dawa ya watu wenye akili za kuku...huna lolote uchonganishi tu....

Kaka naomba nioneshe nilipokosea niboreshe.Mbona kuna mada humu zinatoa changamoto ya Masters za Mzumbe,ni uchonganishi?btw mi sijui chochote,nimeomba wenye kujua mnijuze,nijuzeni basi!
 
Mkuu naweza kuboresha ili nisieleweke vibaya,ila nijuze ubora wa elimu ya MUM

Unapoongelea ubora wa elimu ya vyuo ,unaongelea nini haswa???!!!!
Quality assurance directorate katika chuo ndio inayosimamia kila kitu juu ya maelekezo ya TCU ili kupata Units zinazotakiwa ili mwanafunzi aweze kuhitimu!!!!

GPA ndio scale inayoweza kusema nani kafaulu kiasi gani katika kozi yake sasa kama unapima ubora kwa adherence to TCU prescription GPA yaweza kuwa indicator au la kutegemea na internal local policies za chuo regarding availabity of materials, sleeping facilities,conducive environment, how they liaise na loan board na mabenki na vitu kama hivyo achilia mbali uwepo wa walimu na jinsi chuo kinavyowachukulia walimu residents na part timers!!!!

Sasa haya yoote yangeweza kuongelewa bila kutaja SAUT au ungeitaja hiyo kama comparison point lakini ungelizwa why SAUT na sio UD, SUA, MUHAS au MZUMBE???!!! Ambavyo ni vikongwe na hivyo tungeweza kujifunza mengi zaidi juu ya vyuo vipya na private????!!!!

Taifa la hovyo sana hujengwa na watu "waliolewa dini" wakati imani zao ni dhaifu sana na bado hawawezi kutofautisha imani za mioyo yao kutoka katika mafundisho ya dini zao!!!!
 
Wachangiaji wamepoteza hata maana ya "thread" mleta mada alitaka kujua ubora wa chuo na wala hakukosea kokote na kwa kujua ufinyu wa fikra wa wanajiita great thinkers wengi hapa JF , mleta mada akatoa tahadhari mapema kuwa tusichangie kwa kuongozwa na mihemuko ya kiimani! lakini kama kawa alichotaadhalisha ndio kile kinachoendelea hapa! kama watu watuna majibu ya kumpa si bora kuacha kuandika kuliko kukashfiana na kuonesha udhaifu wetu wa kifikra! pole sana OKWI BOBAN SUNZU ulikuwa na nia njema ila ndio hivyo tena uzi umepindishwa na kpoteza maana!
 
"Tunataka kujua" wewe na nani? Ukiwa kama nani? Ili iwe nini?

Nimekushauri nenda chuoni kwao, watakwambia wanatoa course gani, wanatoa wahitimu wangapi kila mwaka, idadi ya walimu, hali ya mazingira ya kujisomea na tathimini zote...

Na hapa sijui unataka/mnataka kujudge hiyo quality kwa kutumia Norm refernce au Criteria refernce....

mkuu mbona una jazba sana.
 
Asalam aleikum!!Wakuu mwenye data kuhusu quality ya chuo hiki,naona kama chuo kiko kimya hivi tofauti kabisa na SAUT,au kozi zao ni za kimya-kimya hamtaki wengine tujue.Nataka kujua pia kama na sisi wa imani zingine tunaruhusiwa kujoini?.Please usichangie kwa mihemko ya kiimani

Mi nadhani moro kuna vyuo vizuri sana...kama jordan, kuna mzumbe na SUA..kama unataka kukaa moro...KARIBU ila kwa hicho MUM hata TCU hakipo..admission inafanyika kama form six
 
"Tunataka kujua" wewe na nani? Ukiwa kama nani? Ili iwe nini?

Nimekushauri nenda chuoni kwao, watakwambia wanatoa course gani, wanatoa wahitimu wangapi kila mwaka, idadi ya walimu, hali ya mazingira ya kujisomea na tathimini zote
ndo mana nakwambia we mpuuzi,kwa nini upo sasa humu Jf,hapa tunapashana habari,sema umejishtukia na huna majibu,acha wenge
 
mnanichekesha sana wadau, chuo hakitoi wahitim!!! kama kinatoa, bas tujue pia ni kwenye nyaja zipi wanaajiriwa? mtoa uzi cjui kawaza nn mpaka aka-post hii kitu.
 
wenyewe watajibu,tuvute subra watupe ILMU!''Ahsanta''
We unayejiita Kilembwe hii ni "objective enquiry" ?????!!!!!!

Hebu acha kumvika kilemba cha ukoka huyu mtoa mada kama kweli na wewe nia yako ni kujua basi kama huna unafiki utakuwa hujui nini maana ya kuuliza ili kupate elimu na kuuliza ili kusababisha maudhi!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom