Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Kuna Tahsusi hata sielewi manufaa yake hasa ni yapi katika ujenzi wa Taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unapendekeza tahsusi zipi na ku achieve nini?Kuna Tahsusi hata sielewi manufaa yake hasa ni yapi katika ujenzi wa Taifa
View attachment 2669751
Wanakwenda kupewa kazi Dubai, Oman na YemenKuna Tahsusi hata sielewi manufaa yake hasa ni yapi katika ujenzi wa Taifa
View attachment 2669751
Tatizo liko wapi kwani kuna mwanafunzi ANALAZIMISHWA KUSOMA asichokitaka?Kuna Tahsusi hata sielewi manufaa yake hasa ni yapi katika ujenzi wa Taifa
View attachment 2669751
Enzi za waziri Joseph Mungai,nashukuru sisi tuliendelea kama mwanzo kabla ya Mungai hivyo haikutuathiri baada ya kuingia waziri mingine yule mama( nimemsahau jina) na kutenguaTuliwahi kusoma physics with chemistry na maisha yalisonga bila shida. Maisha ya bongo unatakiwa uende na beat tu.
Form one mwaka 2006😂😂Tuliwahi kusoma physics with chemistry na maisha yalisonga bila shida. Maisha ya bongo unatakiwa uende na beat tu.