Elimu ya hii nchi ina balaa kubwa katika elimu. Hebu ona hizi Combination

Tuliwahi kusoma physics with chemistry na maisha yalisonga bila shida. Maisha ya bongo unatakiwa uende na beat tu.
Enzi za waziri Joseph Mungai,nashukuru sisi tuliendelea kama mwanzo kabla ya Mungai hivyo haikutuathiri baada ya kuingia waziri mingine yule mama( nimemsahau jina) na kutengua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…