hiram
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 266
- 393
Mfanyabiashara Mo Dewji anamiliki asilimia 49 ya hisa za Simba, Kama Simba watapata dili la kama la Yanga la bilioni 41 basi moja kwa moja asilimia 49 ya pesa hiyo itakwenda kwa Mo Dewji ambayo ni sawa na bilioni 20 na milioni tisa.
Hisa ni nini? Hisa ni namna ya kuchanga mtaji wa biashara ambapo biashara hiyo ikifanyika basi wanahisa wanagawana faida au hasara itakayotokana na biashara hiyo.
Hisa ni nini? Hisa ni namna ya kuchanga mtaji wa biashara ambapo biashara hiyo ikifanyika basi wanahisa wanagawana faida au hasara itakayotokana na biashara hiyo.