Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Limekaa kaa tu kama lipopo limekimanua kwa juuRudia kusoma usiwe mvivu, mwanaume gani unataka utafuniwe kila kitu?!
Bolizozo kweeli
Nalenyewe linauliza linajiona lina akiliii
Bora umemjibu maana tulishafika nusu riwaya