permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Kwa hiyo sajili anazozifanya mpaka anateua akina Barbara kafanya kama nani, Rage akiwaambia ukweli, mnaishia kutukana.Mkuu unaona faida gani kudanganya? Nilidhani unatuletea kweli “Elimu” ya hisa kumbe blah blaha tu.Kwanza ni lini MO keshamiliki hizo hisa 49%? Yani kitu kiko kwa mchakato wewe tayari umekitolea maamuzi,na ni nani alikwambia kupata hiyo 41bn ni faida tayari? Unajua tofauti ya other Income na Net Profit kwenye Financial Statements? Tuna uzoefu pia wa kufanya kazi kwa Kampuni zinazoendeshwa kwa mfumo wa umiliki wa hisa,faida huwa haigawanywi hivyo kama unavyotaka kudanganya watu hapa.Punguza ushabiki kama kweli umeamua kutoa “elimu ya hisa”