Iseee!!kumbe bado [emoji196][emoji196][emoji196]wa JaNgWani wanateseka Sana.Mfanyabiashara Mo Dewji anamiliki asilimia 49 ya hisa za Simba, Kama Simba watapata dili la kama la Yanga la bilioni 41 basi moja kwa moja asilimia 49 ya pesa hiyo itakwenda kwa Mo Dewji ambayo ni sawa na bilioni 20 na milioni tisa
Hisa ni nini? Hisa ni namna ya kuchanga mtaji wa biashara ambapo biashara hiyo ikifanyika basi wanahisa wanagawana faida au hasara itakayotokana na biashara hiyo.
Kwako ukweli ni kinachokufurahisha ama ukweli ni uhalisia?Duh.sidhan Kama ni kweli haya
Kwa hiyo simba watapata zoooote siyoUnapotosha au umedanganywa. Watagawana faida halisi sio mapato ghafi. Hivi utopolo mnaexposure ya shule kweli?
Mapato mbalimbali yakiingia club itafanya matumizi ya kibiashara na kiutawala, halafu watalipa kodi kwenye faida ghafi, itabaki faida halisi au hasara hiyo ndo inagawanwa kwa percent zilizokubaliwa nao.
Ndo maana viongozi wa utopolo kutwa mnadanganywa na viongozi wenu na Wala hamgikiriagi. Jisomeeni basi mfute ujinga wenu.
Rudia kusoma usiwe mvivu, mwanaume gani unataka utafuniwe kila kitu?!Kwa hiyo simba watapata zoooote siyo
Unapotosha au umedanganywa. Watagawana faida halisi sio mapato ghafi. Hivi utopolo mnaexposure ya shule kweli?
Mapato mbalimbali yakiingia club itafanya matumizi ya kibiashara na kiutawala, halafu watalipa kodi kwenye faida ghafi, itabaki faida halisi au hasara hiyo ndo inagawanwa kwa percent zilizokubaliwa nao.
Ndo maana washabiki wa utopolo kutwa mnadanganywa na viongozi wenu na Wala hamfikiriagi. Jisomeeni basi mfute ujinga wenu.
Watu mnagawana mtaji au faida?Mfanyabiashara Mo Dewji anamiliki asilimia 49 ya hisa za Simba, Kama Simba watapata dili la kama la Yanga la bilioni 41 basi moja kwa moja asilimia 49 ya pesa hiyo itakwenda kwa Mo Dewji ambayo ni sawa na bilioni 20 na milioni tisa.
Hisa ni nini? Hisa ni namna ya kuchanga mtaji wa biashara ambapo biashara hiyo ikifanyika basi wanahisa wanagawana faida au hasara itakayotokana na biashara hiyo.
Mfanyabiashara Mo Dewji anamiliki asilimia 49 ya hisa za Simba, Kama Simba watapata dili la kama la Yanga la bilioni 41 basi moja kwa moja asilimia 49 ya pesa hiyo itakwenda kwa Mo Dewji ambayo ni sawa na bilioni 20 na milioni tisa.
Hisa ni nini? Hisa ni namna ya kuchanga mtaji wa biashara ambapo biashara hiyo ikifanyika basi wanahisa wanagawana faida au hasara itakayotokana na biashara hiyo.
ni kweli lakini haipo kiivyo unavyofikiri.Mfanyabiashara Mo Dewji anamiliki asilimia 49 ya hisa za Simba, Kama Simba watapata dili la kama la Yanga la bilioni 41 basi moja kwa moja asilimia 49 ya pesa hiyo itakwenda kwa Mo Dewji ambayo ni sawa na bilioni 20 na milioni tisa.
Hisa ni nini? Hisa ni namna ya kuchanga mtaji wa biashara ambapo biashara hiyo ikifanyika basi wanahisa wanagawana faida au hasara itakayotokana na biashara hiyo.
Safi sana!! Wewe ndiyo mbumbumbu halisi sasa!!! Umejieleza vizuri.Mimi kama shabiki wa Simba yanayonihusu ni Simba iwe na wachezaji bora/usajili bora na timu ifanye vema ndani na nje ya nchi,facilities zote za timu kama viwanja,stahiki bora kwa wachezaji n,k.
mambo ya mgao wa pesa kati ya timu na muwekezaji aunihusu kwasabubu mashabiki hatupewi hizo fedha mikononi.
Simba bingwa,nyinyi komaeni na mechi za darby tu na sherehe za basi jipya ila ubingwa mtausikia kwenye bbc swahili.Safi sana!! Wewe ndiyo mbumbumbu halisi sasa!!! Umejieleza vizuri.