ELIMU YA HISA: Simba wakipata bil40 za Azam basi 49% ni za Mo Dewji

Simba bingwa,nyinyi komaeni na mechi za darby tu na sherehe za basi jipya ila ubingwa mtausikia kwenye bbc swahili.
Subiri msimu ujao halafu uone moto wa Wananchi! Yule mbumbumbu mwenzenu Karia, tutamtafutia dawa nzuri. Halafu tuone kama ataweza tena kuwabeba.
 
Hapana si kweli...utaratibu wa hisa ni kwamba baada ya mwisho wa mwaka watacalculate fedha zilizoingia watatoa matumizi yote ya klabu kitakachobaki ndio faida ambapo yy atachukua asilimia 49 lakini si kwamba fedha inayoingia yy anachukua hapa..
 
Duh.sidhan Kama ni kweli haya
Huu ndio ukweli, kwa mali kauli Mo anamiliki 49% ya Simba, hivyo Simba ikipewa bil 50, karibia bil 24 ni za Mo na Simba na kama bil 26. Ukisikia Simba wanataka walipwe bil 90 jua wanataka walipwe kama Yanga, kwani hapo Mo atasomba kama bil 44 hv.
 
Hii shule unayosema umeenda bado hujaielewa vizuri, kodi na gharama nyingine zinalipwa kutokana na shareholding structure,
 
Hii shule unayosema umeenda bado hujaielewa vizuri, kodi na gharama nyingine zinalipwa kutokana na shareholding structure,
Unapoongea na layman hizo lugha zako kaa nazo. Kuwa kama RB super maestro, do things in simplest way. Upo?
 
Subiri msimu ujao halafu uone moto wa Wananchi! Yule mbumbumbu mwenzenu Karia, tutamtafutia dawa nzuri. Halafu tuone kama ataweza tena kuwabeba.
Walaumuni Suporng na Nchimbi strickers vilaza.mpila unachezwa uwanjani.
 
Kwenye kampuni kuna kitu KINAITWA DIVIDENDS aka Gawio, hizi ni hela mmiliki anapewa na kampuni, haimaaanishi eti kampuni ukipata bilioni 41 basi mwenye hisa Asilimia 49 a napata bilioni 20.

Hio hela itakwenda kwenye usajili, mishahara, na Matumizi mengine ya kampuni,

Then Mwisho wa mwaka kampuni itaangalia faida yake na kutoa maamuzi ni kiasi gani cha Gawio itoe.

Mfano club kama Man U unakuta pato lake ni kama Euro milioni 700 ila dividends ni kama 15m euros kwa Quarter (roughly 60m kwa mwaka)

Hivyo mkuu si kweli kwamba MO anachukua 20B kwenye hizo hela.
 
Rudia kusoma usiwe mvivu, mwanaume gani unataka utafuniwe kila kitu?!
Wanawake huwa mnatabia ya kutamka uanaume badala ya jinsia yenu,
Swali limekukera siyo
 
Walaumuni Suporng na Nchimbi strickers vilaza.mpila unachezwa uwanjani.
Tunasajili, kwa straika hawa hawa tulikutungua vizuri, kwa sasa Yanga inasuka kikosi cha mashindano ya Afrika siyo kupambana na Simba au Mtibwa.
 
Simba bingwa,nyinyi komaeni na mechi za darby tu na sherehe za basi jipya ila ubingwa mtausikia kwenye bbc swahili.
Mkuu kwani Yanga wakikomaa mechi ya derby ya tarehe 25 si nawao watakuwa ni mabingwa na kombe wananyanyua ama ipoje
 
Mkuu kwani Yanga wakikomaa mechi ya derby ya tarehe 25 si nawao watakuwa ni mabingwa na kombe wananyanyua ama ipoje
Hawa mbumbumbu fc ni wasahaulifu sana. Wameshasahau sisi ni Mabingwa wa Kombe la Mapinduzi! Na tulilichukua kwa kuwafunga kupitia mikwaju ya penati.

Na tarehe 25 tunachukua Kombe la pili mikononi mwao.
 
Ila mijitu ya utopolo asilimia kubwa ni mijinga,yule mzungu aliewahi kuwa kocha wao hakukosea kuyaita majitu haya nyani na yana bweka kama mbwa mzungu alikuwa sahihi sana.
Hayajui chochote kuhusu hisa,unakuta muanzisha uzi ni linyani limoja la utopolo limeshiba karanga linatema tu shudu.

kwa akili zake alijawahi hata kusoma kwenye magazeti mfano:Crdb yapata faida ya bilion kadhaa yaamua kugawa asilimia Fulani ya faida kama gawio kwa wanahisa wake?! Mijitu ya utopolo inadhani pesa ikiingia tu kwenye timu ni kugawana tu!!!mijitu ya utopolo mingi haina shule ndio maana inadanganywa na GSM inabaki kushangilia tu ujinga,Gsm ni kit sponsor wa utopolo,lakini kaingia mpaka ndani ndio anasajili,anaweka timu kambi,gsm ndio kila kitu yanamtangaza na kumshangilia kuliko main sponsor ambae ni sportpesa.

Gsm aliyadanganya mautopolo ameingia sijui mkataba na la liga kwa niaba ya yanga,hayajiulizi uyo gsm ni nani mpaka apate mandate ya kusaini mkataba na la liga kwa niaba ya utopolo?!!yaani leo adidas asaini mkataba wa makubaliano yeyote kwa niaba ya madrid kwakuwa yeye ni kit sponsor?!;au ulhsport leo asaini mkataba wa makubaliano yeyote ya kiutawala kwa niaba ya Simba SC kwakua ni kit sponsor?!! Miutopolo ni minyani kweli haijitambui hata kidogo

Leo gsm ambae kit sponsor kayaandalia rasimu ya mabadiliko kwa niaba yao yanashangilia tu,na yana uongozi baada uongozi wao ndio uandae na kusimamia mabadiliko yote, lakini maajabu ya dunia kit sponsor ndie anaratibu kila kitu,sawa tunajua utopolo ni majinga lakini hata kujiuliza!! uyu tumemueka atuuzie tu mashati yetu inakuaje ndio atupangie kila kitu?! Hayajiulizi yako kama majinga...basi majinga mengi utopoloni.
 
Anzisha Uzi wako,tittle iwe "JINSI MAUTOPOLO YALIVYO MAJINGA"
 
Wengi wamekaa kishabiki ukweli ndiyo huo ila hawautaki
 


kwa hiyo we umeona pesa za Azam ni faida.. wala sio mapato ghafi.... kwanza jua hiyo B 40 haitoki kwa mara moja sasa niambie Simba na mo wagawane tuseme hiyo 200m ya kila mwez wakat huo gharama za uendeshaji wa club tu zinafika almost 500m kwa mwez ... unachotakiwa ujue hata kwa yanga hizo 200m za Azam itawasaidia katika matumiz ya club

ni sawa matumiz yako yawe ni laki moja kwa mwez ila sababu huna uwezo uwe unajikuta unabaki na maden kwa kukopa ili utimize gharama za mwezi halafu atokee mtu aseme nitakuwa nakupa 20,00 kila mwezi maana yake atakupa unafuu wa matumiz yako hautakopa sana .. ikiwa gharama zako hazijitoshelez kwa kipato chako ukipata zaidi sio faida ni unafuu..
 
Reactions: mmh

Mkuu unaona faida gani kudanganya? Nilidhani unatuletea kweli “Elimu” ya hisa kumbe blah blaha tu.Kwanza ni lini MO keshamiliki hizo hisa 49%? Yani kitu kiko kwa mchakato wewe tayari umekitolea maamuzi,na ni nani alikwambia kupata hiyo 41bn ni faida tayari? Unajua tofauti ya other Income na Net Profit kwenye Financial Statements? Tuna uzoefu pia wa kufanya kazi kwa Kampuni zinazoendeshwa kwa mfumo wa umiliki wa hisa,faida huwa haigawanywi hivyo kama unavyotaka kudanganya watu hapa.Punguza ushabiki kama kweli umeamua kutoa “elimu ya hisa”
 

Mwenyewe anasema anatupa “elimu ya hisa”[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Reactions: mmh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…