Tumia mouth wash kama Listerline inaondoa harufu yote mbovu mdomoni.pia badilisha mshwaki kila baada ya week 2 au tatu, pia tumia colgate original , nyingi uku mtaani ni fake sana sijui wanatengeneza wapi uko mtaani.Hivi kuna dawa yoyote hapa tz ya kuondoa harufu ya mdomo ukiachana na dawa za kawaida hizi za meno?!