jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Hv kuuliza SI ujinga hv vile vichuma vinavyopitaga kwenye meno katikati huwa ni vya nini au meno yakilegea ndo unatia hvyoo
Vile ni kwa ajili ya mpangilio wa meno mkuu
Sisi wengine tuna meno hata kukenua unaona noma
Sasa vile vinarudisha tabasamu
Ukiwekewa baada ya muda unakuwa poa sana.