Tumia mouth wash kama Listerline inaondoa harufu yote mbovu mdomoni.pia badilisha mshwaki kila baada ya week 2 au tatu, pia tumia colgate original , nyingi uku mtaani ni fake sana sijui wanatengeneza wapi uko mtaani.Hivi kuna dawa yoyote hapa tz ya kuondoa harufu ya mdomo ukiachana na dawa za kawaida hizi za meno?!
TFDA inabidi wafanye kazi yao vizuri.Nimekuja kugundua tz tunatumia dawa za meno fake tofauti na Kenya ambao wanatumia dawa nzuri za meno. How to overcome this ili kuepuka madawa fake ya meno? Ambayo hayasaidii hali ya usafi katika kinywa zaidi ya kuozesha na kuleta maumivu
Km una tatizo la harufu mby ya kinywa nicheki inbox umalize tatizo lako af uje utoe ushuhuda hapa kwny huu uzi
Mm nadili na harufu tu mkuu
Mkuu nimeku-pmKama una tatizo la harufu mby ya kinywa nicheki inbox umalize tatizo lako af uje utoe ushuhuda hapa kwny huu uzi
Mcheki dentist mkuu ila meno ya mbele yana bei ya juu kidogo.Nachomekea na mimi humu,hivi meno ya bandia yanauzwaje moja,maana jino langu la mbele limeng'oka nahitaji kurudishia la bandia...