Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,836
- 2,138
...kudadadeki... haya Magwangala weka na we yako !
1. Kutoka Division IV (29 pts) bila credit hata moja, tena akiwa na F ya Basic Maths, alifanyaje mtihani wa Form VI.ELIMU iliyo sahihi ya Nape Moses Nnauye kama ifuatavyo;
•Kati ya mwaka 1987-1989 alianza elimu yake ya msingi katika shule ya Msingi Mwanga-iliyopo Iramba Singida (ambapo alianza darasa la 1 mpaka 3)
•Mwaka 1989-1993 aliendelea na kumalizia elimu ya msingi katika shule ya Bukumbi iliyopo misungwi Mwanza.(ambako alikuwa ni kati ya wanafunzi watatu "3" kati ya 120 waliochaguliwa sekondari.
•Mwaka 1994-1995 alianza elimu ya Sekondari katika shule ya kutwa ya Ngudu Sekondari.(ambapo alisoma kidato cha kwanza mpaka cha pili)
•Mwaka 1995-1997 aliendelea na elimu ya sekondari katika shule ya Bweni ya Sekondari Nsumba iliyopo Mwanza (ambapo aliendelea kidato cha pili mpaka cha nne) Division IV points 29
•Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM
•Mwaka 2001-2002 alisoma Diploma ya sayansi ya jamii katika Chuo Cha sayansi ya Jamii-Kivukoni.
•Mwaka 2002-2003 alisomea Diploma ya Diplomasia na uhusiano wa Kimataifa –Chuo cha Diplomasia Dar es salaam.
•Mwaka 2005-2008 alisomea digrii ya Saikolojia, Lugha na Habari katika Chuo Kikuu cha Bangalore-India
•Mwaka 2009-2010 alisoma digrii ya pili ya utawala (Masters in Public Administration-MPA) katika chuo cha Mzumbe
NB: Ndugu Nape Nnauye akiwa Kivukoni aliandika "thesis" iliyohusu ; VIKWAZO VINAVYOZUIA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA SIASA. Na pia akiwa Mzumbe University aliandika kuhusu ; SABABU ZINAZOCHANGIA USHIRIKI WA WAPIGAKURA (ni ipi sababu ya kutojitokeza wapigakura siku ya Kura)
Ndugu wanajamvi nasikitika tu kueleza kuwa Nape kaanzisha suala la elimu ilihali yeye akijua kabisa kuwa hana uwezo na hatokuwa na uwezo kielimu kama aliokuwa nao Mnyika.
Nape alihamia Nsumba Sekondari iliyoko Mwanza Mwaka 1995 akitokea Ngudu Sekondari iliyoko wilayani Kwimba na kunikuta mimi nikiwa kidato cha kwanza yeye akiwa kidato cha pili.
Nape alifikia kuishi bweni lijulikanalo kwa jina la Mondlane room 3. Kijana Nape alikuwa mcha Mungu sana maarufu kama mlokole.
Nape baada ya kuhitimu form four alipata division four ya point 29. Sasa mimi sijui alifikaje huko form six. baada ya hapo sikuelewa tena nini kiliendelea kwa Nape kwa elimu ya bachelor lakini kwa masters yake amehangaika sana kukamilisha dessertation yake pale Mzumbe kwa habari niliyoipata kutoka kwa Lecturer mmoja ambaye ni jamaa yangu wa karibu na aliyemfahamu tangia akiwa form two.
academician lazima ahangaike nyie si mmezoea za kupewa???????? huyu mtoto wa kiume ni mhangaikaji amehangaika na kuteseka sana kuitafuta elimu, fahamu elimu haupewi unaitafuta kwa sasa nape ana masters, mnyika ana form six, ndio tofauti kubwa kati yao.
uchakachuzi wa elimu, tunataka kujua alirudia wapi kupata credits za kujiunga na kidato cha tano na sita? mbona mnatutoa kwenye mada?academician lazima ahangaike nyie si mmezoea za kupewa???????? huyu mtoto wa kiume ni mhangaikaji amehangaika na kuteseka sana kuitafuta elimu, fahamu elimu haupewi unaitafuta kwa sasa nape ana masters, mnyika ana form six, ndio tofauti kubwa kati yao.
mkuu wanatukwepa kutupati hizi info ili sasa tuweke education flow nzuri hadi masters yake aliyonayo.1. Kutoka Division IV (29 pts) bila credit hata moja, tena akiwa na F ya Basic Maths, alifanyaje mtihani wa Form VI.
2. Tunaomba tujue shule gani alisomea Form V na Form VI na matokeo yake ya Form VI.
Usikimbilie tofauti yake na mnyika,tunaomba ufafanuzi wa matokeo ya form six na "alihangaikaje" huyo muhangaikaji wako akafanikiwa kuingia kidato cha tano bila credit. zingatia Nape ni kiongozi kwahiyo ufafanuzi wako utawasaidia pia vijana waliofeli kama yeye "kuhanagaika" ili waingie form five strait kama Nape. Ufafanuzi please..academician lazima ahangaike nyie si mmezoea za kupewa???????? huyu mtoto wa kiume ni mhangaikaji amehangaika na kuteseka sana kuitafuta elimu, fahamu elimu haupewi unaitafuta kwa sasa nape ana masters, mnyika ana form six, ndio tofauti kubwa kati yao.
ELIMU iliyo sahihi ya Nape Moses Nnauye kama ifuatavyo;
•Kati ya mwaka 1987-1989 alianza elimu yake ya msingi katika shule ya Msingi Mwanga-iliyopo Iramba Singida (ambapo alianza darasa la 1 mpaka 3)
•Mwaka 1989-1993 aliendelea na kumalizia elimu ya msingi katika shule ya Bukumbi iliyopo misungwi Mwanza.(ambako alikuwa ni kati ya wanafunzi watatu "3" kati ya 120 waliochaguliwa sekondari.
•Mwaka 1994-1995 alianza elimu ya Sekondari katika shule ya kutwa ya Ngudu Sekondari.(ambapo alisoma kidato cha kwanza mpaka cha pili)
•Mwaka 1995-1997 aliendelea na elimu ya sekondari katika shule ya Bweni ya Sekondari Nsumba iliyopo Mwanza (ambapo aliendelea kidato cha pili mpaka cha nne)
•Mwaka 1998-2000 alisoma elimu ya juu ya sekondari (advanced level), mchepuo wa EGM
•Mwaka 2001-2002 alisoma Diploma ya sayansi ya jamii katika Chuo Cha sayansi ya Jamii-Kivukoni.
•Mwaka 2002-2003 alisomea Diploma ya Diplomasia na uhusiano wa Kimataifa –Chuo cha Diplomasia Dar es salaam.
•Mwaka 2005-2008 alisomea digrii ya Saikolojia, Lugha na Habari katika Chuo Kikuu cha Bangalore-India
•Mwaka 2009-2010 alisoma digrii ya pili ya utawala (Masters in Public Administration-MPA) katika chuo cha Mzumbe
NB: Ndugu Nape Nnauye akiwa Kivukoni aliandika "thesis" iliyohusu ; VIKWAZO VINAVYOZUIA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA SIASA. Na pia akiwa Mzumbe University aliandika kuhusu ; SABABU ZINAZOCHANGIA USHIRIKI WA WAPIGAKURA (ni ipi sababu ya kutojitokeza wapigakura siku ya Kura)
Verry simple, NAPE anayo masterz na Mnyika hakumaliza chuo.period