Elimu ya Nape Nnauye

toa zako then uliza za mwenzio y utake za watu wakati zako ni siri
 
Kwa vile nape anapenda sifa nahakika angekua na vyeti safi angeita press kuwaaibisha watesi wake ila kwa kua ka kaa kimya hii ni ishara tosha kuwa elimu yake tiamaji tiamaji

Anyway tunajua unasoma na kupita kimya kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha kumbe MH. hamnazo
 
Kumeibuka na sintofahamu juu ya elimu ya wabunge, wa darasa la saba wanawaponda maprofesa, maprofesa wanajimwambafy. Wananchi wanatoa maoni juu ya umuhimu wa elimu kupambanua mambo.

Sasa kama ndio hivyo mtu aliyepata div 0 anatofauti gani na aliyeishia la saba, je ataweza kupambanua mambo? Nape inasemekana alizungusha form four. Sasa Iq yake kupambanua mambo imekaa vipi?
 
Tofauti ipo, tena kubwa tu.
 
Ccm huenda ikaondoka na mwendazake
 
nani aliyekwambia kupata zero ni ujinga au kunahusiana na IQ ? hujui watu hupata misiba na matatizo mengine ya kifamilia wakati wa mitihani ?
 
Kwanini msikubaliane tu na hali kuwa MEKO, ameshatutoka??na lazima nchi isonge mbele?eti aliyepata 0!! Yaani kwa akili tu ndogo za kuendea chooni huwezi ona tofauti ya uelewa baina yao?!!japo ccm hata uwe prof.akili yako unaichetua na kuwa kama darasa la saba, lakini msukuma huo ndio uwezo wake wala hajaichetua akili yake.Ila sasa akili zao zile ndio wanazirudisha na kuona mabaya na mazuri.
 
nani aliyekwambia kupata zero ni ujinga au kunahusiana na IQ ? hujui watu hupata misiba na matatizo mengine ya kifamilia wakati wa mitihani ?
Pamoja na hayo, Nape ana uwezo mkubwa sana wa kupambanua mambo!
Tena, ana uwezo wa hali ya KIHUNI na hata KISTAARABU. Kwenye kampeni ya 2015 aliibeba sana CCM. Bahati mbaya tu, hawana SHUKRANI!
 
Haha hii vita ya mataga halisi na mataga pori inazidi kupamba moto.

Mataga pori mnahasira sana mnamvuruga yoyote mnayemuhisi hajaguswa na msiba wa mwendazake.
 
Elimu kwa njia ya posta imetuzalishia viongozi wengi wazuri. Fanya utafiti maprofesa wengi walirudia darasa la saba.
 
Kama katiba inasema rais awe na degree, inakuwaje mbunge ndo atakiwe kuwa na elimu yoyote hata ya ngumbaru.....yaani kwa mazingira ya sasa ambayo watanzania wengi wameshasoma, nimeona hata wenye Masters wameshakuwa wengi sana, unawezaje kuruhusu watu kama kibajaji na msukuma, na hao waliopata zero sekondari kufanya mijadala bungeni jambo ambalo linahitaji weledi wa kiwango cha juu........achaneni na zama za mawe ambapo wenye elimu ndogo walipewa nafasi, hicho kipindi wasomi bado walikuwa wachache, msifanye mambo kimazoea.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…