Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha kumbe MH. hamnazoNAPE NNAUYE: DIV IV-29
KISW D, HIST D, GEOG D, ENG F, B/MATH F, BIOL D, CHEM D, PHY D, CIV F
JOHN MNYIKA: DIV I-7
PHY A, CHEM A, BIOL A, CIV A, ENGL A, GEOG A, HIST A, B/MATH A, KISW A, B/KNOW A
Ili uwe kiongozi na mwanasiasa mzuri unahitaji uelewa mkubwa sana wa elimu ya uraia na historia ya nchi yako na zingine zinazokuzunguka. Lakini pia "Mathematics is all about logic", yaani kitu fulani kikitokea basi kingine kitafata, kwa hiyo ni rahisi kujizuia kutamaka tamka tu mambo hovyo hovyo, ambayo saa zingine nadiriki kusema ndo yanatupelekea kuondoka kwenye misingi yetu iliyoasisiwa na viongozi wetu kama Mwalimu Nyerere na wengineo. Sasa, kama katibu mwenezi ana failure katika haya yote, untegemea nini? Au ndo maana leo tunaona hotuba zikihamasisha udini, ukanda, chuki nk. Tujadili
Kwani bila cheti huwezi kuamini?Tuma cheti kukamilisha ulisemalo
Tofauti ipo, tena kubwa tu.Kumeibuka na sintofahamu juu ya elimu ya wabunge, wa darasa la saba wanawaponda maprofesa, maprofesa wanajimwambafy. Wananchi wanatoa maoni juu ya umuhimu wa elimu kupambanua mambo.
Sasa kama ndio hivyo mtu aliyepata div 0 anatofauti gani na aliyeishia la saba, je ataweza kupambanua mambo? Nape inasemekana alizungusha form four. Sasa Iq yake kupambanua mambo imekaa vipi?
Ccm huenda ikaondoka na mwendazakeKumeibuka na sintofahamu juu ya elimu ya wabunge, wa darasa la saba wanawaponda maprofesa, maprofesa wanajimwambafy. Wananchi wanatoa maoni juu ya umuhimu wa elimu kupambanua mambo.
Sasa kama ndio hivyo mtu aliyepata div 0 anatofauti gani na aliyeishia la saba, je ataweza kupambanua mambo? Nape inasemekana alizungusha form four. Sasa Iq yake kupambanua mambo imekaa vipi?
nani aliyekwambia kupata zero ni ujinga au kunahusiana na IQ ? hujui watu hupata misiba na matatizo mengine ya kifamilia wakati wa mitihani ?Kumeibuka na sintofahamu juu ya elimu ya wabunge, wa darasa la saba wanawaponda maprofesa, maprofesa wanajimwambafy. Wananchi wanatoa maoni juu ya umuhimu wa elimu kupambanua mambo.
Sasa kama ndio hivyo mtu aliyepata div 0 anatofauti gani na aliyeishia la saba, je ataweza kupambanua mambo? Nape inasemekana alizungusha form four. Sasa Iq yake kupambanua mambo imekaa vipi?
Naona ni chuki tu!Kwani bila cheti huwezi kuamini?
Kwanini msikubaliane tu na hali kuwa MEKO, ameshatutoka??na lazima nchi isonge mbele?eti aliyepata 0!! Yaani kwa akili tu ndogo za kuendea chooni huwezi ona tofauti ya uelewa baina yao?!!japo ccm hata uwe prof.akili yako unaichetua na kuwa kama darasa la saba, lakini msukuma huo ndio uwezo wake wala hajaichetua akili yake.Ila sasa akili zao zile ndio wanazirudisha na kuona mabaya na mazuri.Kumeibuka na sintofahamu juu ya elimu ya wabunge, wa darasa la saba wanawaponda maprofesa, maprofesa wanajimwambafy. Wananchi wanatoa maoni juu ya umuhimu wa elimu kupambanua mambo.
Sasa kama ndio hivyo mtu aliyepata div 0 anatofauti gani na aliyeishia la saba, je ataweza kupambanua mambo? Nape inasemekana alizungusha form four. Sasa Iq yake kupambanua mambo imekaa vipi?
Pamoja na hayo, Nape ana uwezo mkubwa sana wa kupambanua mambo!nani aliyekwambia kupata zero ni ujinga au kunahusiana na IQ ? hujui watu hupata misiba na matatizo mengine ya kifamilia wakati wa mitihani ?
Sasa tukuamini wew Mungu ndugu yangu?Kwani bila cheti huwezi kuamini?
Siku hizi watu wana raha sana wanasoma online.Elimu kwa njia ya posta imetuzalishia viongozi wengi wazuri. Fanya utafiti maprofesa wengi walirudia darasa la saba.