Kaka ni four ya mwanzo..form four ...hiyo form six ...hakuna record zake ...kama angekuwa na form six hata four ..pale Mwalimu Nyerere wangemsajili kozi ya Diploma..,na angekuwa na division two form six au hata three ya principal pale kivukoni wangemsajili kwenye degree
...kozi ya certificate aliyoingia ni ya waliofikia form four....Na ndio ilikuwa halali yake....
Tafuteni perfomamce yake ya form four,kivukoni,India .........na pale Mzumbe....,tunataka kujuwa aliandika desertstion juu ya nini?.....plagiarisms inahusika hapa!
nchi za wenzetu hizi zingekuwa tuhuma nzito kiasi kwamba Prof. Juma angejiuzulu ili chombo huru kichunguze tuhuma hizi.Nape ni failure kama hawa wadogo zetu wanaotengeneza 60% lakini pia ni failure wa A level.
Mzee makamba ndiye alijitwika zigo la kumtafutia shule ndipo akampeleka mwalimu nyerere memorial academy kusoma certificate. Baada ya hapo akafanyiwa mishemishe akajiunga chuo cha diplomasia kurasini.
Balaa zaidi ni namna serikali kupitia kwa ubalozi wake nchini India ilivyoipigia magoti chuo cha Acharya hadi kukubali kumpokea nape kusoma degree ya kwanza.
Riziwani asingeweza kupata hata degree ya kwanza kama si mbeleko ya Prof. Juma ambaye amekuja kulipwa fashila na raisi kwa uteuzi wa kuwa jaji wa mahakama kuu na baadae jaji wa mahakama ya rufaa!
Ha! ha! ha!.........mbavu zangu!Akitokea Nnape humu kujibu, nitajinyonga siyo siri.
'Mwosha huoshwa'.
Nape Nnauye ulianzisha mjadala juu ya elimu ya Mheshimiwa John Mnyika na mwenyewe ameshajitokeza kujibu.
Katika uzi huo wa Mheshimiwa Mnyika wachangiaji wengi wamegusia kuhusu details za elimu yako.
Swali la msingi: Matokeo yako ya Form 6 yana mashaka, wengine wanasema ulipata Division IV wengine Division 0. Uliwezaje kwenda chuo kikuu na Division IV ya Form 6?
Ona duku duku la wengi kujua matokeo yako.
Watu hawa wote, pamoja na mimi mwenyewe tunaomba majibu.
Kama kuna waliosoma na Nape pia, mnaweza kutueleza mnavyomfahamu.
Nape Nnauye, achana na propaganda za kitoto.
Panda jukwaani kama kiongozi wa chama tawala uwape matumaini watu waliokata tamaa.
Lakini kwa kuwa ulianzisha wewe mwenyewe, tunaomba performance yako kuanzia O level.
Nape alimaliza form four na kuipata devision four.....kipindi hicho ndio baba yake alikuwa amefariki......,marafiki wa marehemu Baba yake waliamua kumtafutia shule pale Mwalimu Nyerere academy...kivukoni....course ya certificate...
Pia alipatiwa ajira pale Lumumba...kitengo cha mambo ya nje......,alijaribu kugombea uwenyekiti wa vijana akakatwa jina...na Emmanuel Nchimbi akatetea kiti chake.......,
Takribani mwaka 2006 ..marafiki wa baba yake walimtafutia tena Chuo India ...kusomea mambo ya uhusiano...hakuwa na sifa za kuingia kozi ya degree...Bali alianyiwa fadhila tu ....kwa ombi la serikali ya Tanzania.
Miaka mitano iliyopita alipatiwa admission ..Mzumbe.....ambako nako amebahatika kupewa degree ya pili ya utawala....walio soma naye kote Huko wanaweza kuongelea uwezo wake...
Huyu Nnape kwakweli wanamjua waje waseme ukweli wa Elimu yake.
Elimu ya vyeti vya kufoji au elimu ya kichwani?Cdm hamjatulia, nyie ni kama upepo, Nape ameongeza cdt kwakweli,mana kila anachokiongea anapata atentintion na hilo kwa ccm ni faida.hv nape na mnyika nani anaelimu ya juu mana ubungo tumeamin elimu ina impact kubwa sana sa hatutaki kuchagua galasa ifikapo 2015..
Mkuu zipo tuhuma mtaani na hata hapa JF kwamba Nape amefanya kitu cha plagiarisms chuoni mzumbe lakini kubwa zaidi ni kwamba desertation yake aliwasilishiwa na majeshi ya kukodi. Kwakuwa tuhuma hizi hazijawahi kukanushwa na mtu yeyote including Nape mwenyewe sina sababu ya kutoziamini.
Mkuu chama Mzumbe aliandikiwa dissertation yake Kama ni yake aimwage hapa au nimtaje aliyemfanyia?Mkuu Mwita Maranya
Tatizo lipo wapi Nape ana Masters ya Mzumbe; John Mnyika ni form 6; alipita Mlimani masomo ya jioni hakumaliza sasa mnahoji kipi?
Chama
Gongo la mboto DSM
'Mwosha huoshwa'.
Nape Nnauye ulianzisha mjadala juu ya elimu ya Mheshimiwa John Mnyika na mwenyewe ameshajitokeza kujibu.
Katika uzi huo wa Mheshimiwa Mnyika wachangiaji wengi wamegusia kuhusu details za elimu yako.
Swali la msingi: Matokeo yako ya Form 6 yana mashaka, wengine wanasema ulipata Division IV wengine Division 0. Uliwezaje kwenda chuo kikuu na Division IV ya Form 6?
Ona duku duku la wengi kujua matokeo yako.
Watu hawa wote, pamoja na mimi mwenyewe tunaomba majibu.
Kama kuna waliosoma na Nape pia, mnaweza kutueleza mnavyomfahamu.
Mkuu chama Mzumbe aliandikiwa dissertation yake Kama ni yake aimwage hapa au nimtaje aliyemfanyia?