Elimu ya Nape Nnauye

Elimu ya Nape Nnauye

Mkuu Nape aliwahi kusoma Makongo?Mbona msemaji wake Bwana Tandaleone aliuhaminisha umma kuwa alisoma TTC Butimba EGM?
hapo sasa
maana kunabwana kasema eti alifanya mtihani makongo kama private na wengine wanasema alikuwa akienda kufundisha dini,nami nikajiuliza maswali haya
kwa tanzania,ili ufanya mtihani wa kidato cha sita ni lazima uwe na credit,sasa ukisoma maoni ya wadau wanasema eti alipata 4 ya 29 kidato cha nne,hapo ndipo sipaelewi.
 
NAPE NNAUYE: DIV IV-29
KISW D, HIST D, GEOG D, ENG F, B/MATH F, BIOL D, CHEM D, PHY D, CIV F

JOHN MNYIKA: DIV I-7
PHY A, CHEM A, BIOL A, CIV A, ENGL A, GEOG A, HIST A, B/MATH A, KISW A, B/KNOW A

Ili uwe kiongozi na mwanasiasa mzuri unahitaji uelewa mkubwa sana wa elimu ya uraia na historia ya nchi yako na zingine zinazokuzunguka. Lakini pia "Mathematics is all about logic", yaani kitu fulani kikitokea basi kingine kitafata, kwa hiyo ni rahisi kujizuia kutamaka tamka tu mambo hovyo hovyo, ambayo saa zingine nadiriki kusema ndo yanatupelekea kuondoka kwenye misingi yetu iliyoasisiwa na viongozi wetu kama Mwalimu Nyerere na wengineo. Sasa, kama katibu mwenezi ana failure katika haya yote, untegemea nini? Au ndo maana leo tunaona hotuba zikihamasisha udini, ukanda, chuki nk. Tujadili

 
I say bollox to that, and I didn't say he should have obtained A's form six. All I said was he shouldn't have failed to score at least treble C's form six. In that respect, your argument is futile.

And......remember, Einsten, Albert; that genius, scored zeros, but after the third exam he qualified for a college entrance, he came with this, the theory of relativity you remember? E=mc2.

I scored nothing, but I worked on a titanium sponge, I was very stupid student, was good only on Mathis and physics! Young John Mnika is intelligent un deniable. Let us appreciate.
 
NAPE NNAUYE: DIV IV-29
KISW D, HIST D, GEOG D, ENG F, B/MATH F, BIOL D, CHEM D, PHY D, CIV F

JOHN MNYIKA: DIV I-7
PHY A, CHEM A, BIOL A, CIV A, ENGL A, GEOG A, HIST A, B/MATH A, KISW A, B/KNOW A

Ili uwe kiongozi na mwanasiasa mzuri unahitaji uelewa mkubwa sana wa elimu ya uraia na historia ya nchi yako na zingine zinazokuzunguka. Lakini pia "Mathematics is all about logic", yaani kitu fulani kikitokea basi kingine kitafata, kwa hiyo ni rahisi kujizuia kutamaka tamka tu mambo hovyo hovyo, ambayo saa zingine nadiriki kusema ndo yanatupelekea kuondoka kwenye misingi yetu iliyoasisiwa na viongozi wetu kama Mwalimu Nyerere na wengineo. Sasa, kama katibu mwenezi ana failure katika haya yote, untegemea nini? Au ndo maana leo tunaona hotuba zikihamasisha udini, ukanda, chuki nk. Tujadili

Nape scored better than Dr. Honorable, President Jakaya Mrisho Kingwendu (Vasco da Gama ) Kikwete
 
Ummemmaliza kabisa kumbe jamaa alikuawa na four 29 form four angekuwa mwaka huu hiyo ni zero
'mwosha huoshwa'.

nape nnauye
ulianzisha mjadala juu ya elimu ya mheshimiwa john mnyika na mwenyewe ameshajitokeza kujibu.

Katika uzi huo wa mheshimiwa mnyika wachangiaji wengi wamegusia kuhusu details za elimu yako.

Swali la msingi: Matokeo yako ya form 6 yana mashaka, wengine wanasema ulipata division iv wengine division 0. Uliwezaje kwenda chuo kikuu na division iv ya form 6?

Ona duku duku la wengi kujua matokeo yako.

















Watu hawa wote, pamoja na mimi mwenyewe tunaomba majibu.

Kama kuna waliosoma na nape pia, mnaweza kutueleza mnavyomfahamu.
 
Umaarufu wa CDM umechangiwa kwa kiasi kikubwa na CCM kukosa watu mahiri wa kukabiliana na hoja madhubuti kutoka CDM. Nashauri Nape na Mwigulu waachie ngazi ili kuruhusu watu wengine wenye mawazo ya utaifa kujaribu kuokoa jahazi la magamba lililozama kwa sababu ya siasa ambazo hazina tija kwa taifa,
 
Dah pole sana Nape hahaha. Itabidi uvumilie tu haya maana kumbe watu wanaijua back ground yako tofauti na ulivyotegemea. Kumbe ndamaana we ni mropokaji na wala huangalii unaongelea jambo gani kwa wakati gani huku ukitakiwa kujibu hoja gani. Ila kwa mimi nilisha ku disqualify zamaaani sana kutokana na maneno yako ukiwaga unajibu hoja za watu mbali mbali. Na watu kama nyinyi mko wengi saana ndani ya ccm ingawa wasomi pia wapo sikatai.
Binafsi napenda kuamini kuwa mtu hasemwi vibaya kwa kushindwa kwake darasani maana kudondoka si kushindwa, bali kuinuka na kusonga mbele huku ukiangalia usidondoke tena, ila kwako ni tofauti. Watu wanakuattack kwa maneno ya aina yote kwasababu umeanzisha mwenyewe kwa kutaka kujua elimu za watu wengine kiunafki. I thought you were asking about Mnyika's academic back ground history ukishangaa ni jinsi gani jamaa alivyo na weledi wajuu kwa jinsi anavyopresent vitu ambavyo vina mantiki kwa mustakabali wa taifa na jamii nzima kiujumla, kumbe wewe ulifanya hivyokinyume kwake.
Umelianzisha hili na jamii nzima sasa ishakujua. Jirekebishe kaka
 
Jamani ukiwa unaishi kwenye nyumba ya vioo..usiwe wa kwanza kurusha jiwe!

Hivi kweli NAPE alishindwa kujua kwamba watu wanamfahamu just like any other person? Kwa hii educational background ya Nape how dare do you bring mjadala wa elimu especially katika muktadha aliouweka hapa? Especially dhidi ya mtu kama Mnyika?

Au aliona kijana katulia akajua..hajasoma? Well..sasa yeye ndo anaaibika na watu wata-dig mpaka ambayo alikuwa hataki yajulikane in public. Poor Nape. Anyway labda ndo matokeo ya hiyo elimu yenyewe ya India.

In fact sasa umeanza hata ku-confirm misgivings za watu wengi kwamba Mzumbe University is entertaining mediocres! Maana watu humu wengi wamelalamikia chuo cha Mzumbe kwamba wanafanya mambo dodgy dodgy! Imagine elimu ya Nchimbi..Kamala..etc! Ni watu kama nyinyi mnaabisha shule zenu..haya sasa mda si mrefu...watakuzushia kashfa hapa kwamba ulipata admission kwa mlango wa nyuma kwa kutumia kofia ya Chama..My friend....This is JF..be careful my dear brother Nape!

Please Nape next time chose your battle carefully!

And always be careful with what you wish! You might get it!

Masanja
 
nape mwanafunzi aliyehamia nsumba,aliishi mondulane chumba namba nne,akiimba sana mapambiio balaa
 
Bado hakuna jibu kutoka kwa Nahum Moses Nnauye!

cc
MwanaDiwani.
 
Last edited by a moderator:
kuna baadhi ya mabo unayachokoza halafu unakaa pembeni unashika tama na kujuta,nape atakuwa anajuta sasa hivi
Kumbe nape ni mburula, kilaza, hewa, John kisomo, msuli mkubwa wa kukesha hadi kuweka miguu kwenye maji, lakin paper likija holaa! Ndio maana anaongeaga pumba Mwenyekiti wa sup
 
Mara nyingi ukiwa mzuri sana darasani ni mara chache sana Kuongoza.
Hata Socrates alisema Mwanafalsafa(au mtu anayeamini katika ukweli) hawezi kuwa mwanasiasa!
 
Back
Top Bottom