engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
hapo sasaMkuu Nape aliwahi kusoma Makongo?Mbona msemaji wake Bwana Tandaleone aliuhaminisha umma kuwa alisoma TTC Butimba EGM?
maana kunabwana kasema eti alifanya mtihani makongo kama private na wengine wanasema alikuwa akienda kufundisha dini,nami nikajiuliza maswali haya
kwa tanzania,ili ufanya mtihani wa kidato cha sita ni lazima uwe na credit,sasa ukisoma maoni ya wadau wanasema eti alipata 4 ya 29 kidato cha nne,hapo ndipo sipaelewi.