mzalendokweli
JF-Expert Member
- Apr 21, 2012
- 579
- 138
mtamuua kwa presha wakuu kuna uzi unamtaka adhibitishe kama amepata familia yake.nashauri mpeni muda ajibu hoja moja moja uwezo wake ni mdogo he can not handle two things at a time.
Haez kufa kwa pressure kwan hapa lengo lake lishatimia nalo ni kufanya wewe na wengine mnaojadili muache kujadili mambo ya msingi kwa Taifa muanze kujadili elimu ya watu. Hujui half wa wahitimu wa form four wamefail?nani alaumiwe????