Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeye alijua elimu huanzia degree ya kwanza na kuendelea. sasa mambo ya kuulizana Matokeo ya O'level na A'level ndiyo kikwazo kilipo.'Mwosha huoshwa'.
Nape Nnauye ulianzisha mjadala juu ya elimu ya Mheshimiwa John Mnyika na mwenyewe ameshajitokeza kujibu.
Katika uzi huo wa Mheshimiwa Mnyika wachangiaji wengi wamegusia kuhusu details za elimu yako.
Swali la msingi: Matokeo yako ya Form 6 yana mashaka, wengine wanasema ulipata Division IV wengine Division 0. Uliwezaje kwenda chuo kikuu na Division IV ya Form 6?
.
ili kupata majibu ya Nape inaitaji upate kingamuzi kitakachotengenezwa na watanzania wenyeweNape, tunasubiri majibu ya grades zako za Form IV na VI
Mkuu Nape hawezi kujitokeza Hadaharani Kuelezea Elimu yake. Nape analiwinda sana Jimbo la Ubungo sasa anahisi Masalia wanaweza Kumsaida
Nape alifeli Form Six baada ya Kukosa Sifa za Kujiunga Chuo Chochote Cha Tanzania. Kwa sababu Mzee Yusuph Makamba alikuwa na Uhusiano wa Karibu na Baba wa Kambo wa Nape (Mzee Moses Nnauye) Wakamtafutia kachuo huko India. Sasa nasikia anachukua Masters Mzumbe (Nani ambaye hajui MBA za Mzumbe ni Fake?)
Nipo; Nape elimu yake mbona ipo wazi tu!
Chama
Gongo la mboto DSM
naona sasa nyinyi mnataka vyeti vyake viote mbawa, maana kule India kuna uwezekano mkubwa alipeleka vyeti vya kubumba cha darasa la nne la zamani iv na cha cha darasa la sita vi aka kidatu cha sita.mzumbe wameficha report yake pale library though za wengine zipo,may be sijawa makini sana..soon tutaweka matokeo yake ya mzumbe na report yake pia
Naona huna cha kuandika, unajibaragua tu....Nipo; Nape elimu yake mbona ipo wazi tu!
Chama
Gongo la mboto DSM
mkuu inaelekea ww hujawah kuajiriwa/ au hujui/ au unadanganya kwa maksudi.
Unapoomba ajira wanataka vyeti vyako vyote vya elimu, f4,f6, chuo nk, mpaka wakati mwingine wanataka vyet vya kuzaliwa.
TUWEKEENI NO ya simu Ya NapeTUMRUSHIE SMS kama tulivyofanya kwa supika na naibu wake.
Kwani Nape Nnauye alikwambia anatafuta ajira? Mkuu siku hizi mwajiri kama anakuuliza cheti cha 4 & 6 jua wazi hataki kukupa hiyo kazi; labda kama tunaongelea kazi ya ulinzi wa security hapo nitakubaliana na wewe
Chama
Gongo la mboto DSM
Naona huna cha kuandika, unajibaragua tu....
jamani wana JF hizi mada za elimu zinazo anzishwa na maccm lengo lao ni kuwa toa kwen ye hoja kama gesi huko Mtwara, na kigoma, hoja za John Mnyika, Nasari, na Mbatia, madudu aliyoyafanya Ngombe kule mwanza, mabilioni ya uswiss...sasa nyie nganganene na elimu ya nape na Mnyika huku mkikubali kutoka kwenye hoja zinazotuhusu zaidi...
Kwani mkuu ulitaka kuandikwe nini? Nape Nnauye hajatafuta sympath kwa watu elimu yake wote mnaijua sasa kinabishwana kitu gani?
Chama
Gongo la mboto DSM
Hatutafuti elimu tunatafuta PERFORMANCE mbona Biligate hana elimu ya NAPE???? Mnakuwa wagumu kuelewa ndo maana mnaiangamiza nchi yetu kwa uzito wa akili zenu