donimuya
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 272
- 55
Lakini unajuwa kuwa kwa sasa ni Doctor!!!unakumbuka mzee Mzindakaya aliwahi kulazimisha kusoma Mzumbe? Unajua matokeo yake walimuondoa pamoja na kuwa alikuwa mkuu wa mkoa wa Morogoro; Nape Nnauye alikuwa na sifa zote za kujiunga na chuo ndio sababu bodi ya chuo ilikubali vyeti vyake.
Chama
Gongo la mboto DSM