Elimu ya Nape Nnauye

Elimu ya Nape Nnauye

This is interesting: MUZEEZAIDI posted:

Nimeamua kueleza ukweli huu baada ya kuona upotoshaji wa makusudi unaoendelea humu.

Kuna mtu kajitokeza kujibu elimu ya Nape wengi wakahoji kwani Nape yuko wapi asijitokeze mwenyewe kujibu kama alivyofanya Mnyika?

Naomba mfahamu aliyejibu ni Nape mwenyewe kwa kutumia ID ya bandia, lakini amekuwa mno too radical hadi watu wakamshtukia.

Lakini hoja sio kuwa radical, au kutumia ID bandia, hoja ni kuwa amefanya upotoshaji wa makusudi uliotuacha mdomnd wazi wale tunaomfahamu. Sasa ukweli kuhusu elimu ya Nape huu hapa.

Mwaka 1993 alifeli darasa la saba. Wakati ule jina halali la Nape akiitwa Nahum Nnauye. Waliosoma nae wanakumbuka. Bt akafanyiwa mpango na kupewa jina la Nape Mkumbo Nyagicha mtoto masikini wa Kinyiramba, aliyefaulu lakini familia yake haikuwa na uwezo wa kumsomesha.

Mwaka 1994 Nahum Nnauye akajiunga na shule ya sekondari ya kutwa Ndugu wilayani Kwimba akiwa na jina kaiba jina jipya la Nape. Mwaka 1995 akahamishiwa shule ya Sekondari Nsumba kwa kutumia title ya baba yake Mzee Moses Nnauye.

Mwal 1997 akafeli form four kwa kupata division four ya point 29 akiwa na D 4, c 1 na F 5. Akareseat mara 2 bila mafanikio pale Butimc TTC ambacho ni kituo cha watahiniwa binafsi. Mwaka 1999 na mwaka 2000.

Akakata tamaa na hatimaye mwaka 2001 akaamua kwenda kusoma cheti cha Uhazili (cert of secretarial services) katika chuo cha Kivukoni. So kabla sijaendelea naomba ieleweke kuwa Nahum Moses Nnauye (Nape) hajawahi kusoma form 5 shule yoyote duniani. Kama anabisha aje hapa tumuulize maswali ya Geography 1 au Ecomics 2 uone atakavyochanganyikiwa. Kwanza hajui kama kuna paper 1 na 2 A.level, atasemaje amesoma A.level?

So uhazili mwaka akatumia cheti chake cha uhazili kuomba diploma pale chuo cha Diplomasia kurasini. akapata na akaanza kusoma. Mwaka mwaka 2002 akafeli kuendelea na 2nd year baada ya kupata suplimentary 4 ktk masomo 6 aliyokuwa akisoma. So kwa kifupi akadsco. Hivyo naomba ieleweke kuwa huyu jamaa anayejiita Nape hajawahi kutunukiwa diplmoma yoyote kutoka Chuo cha Diplomasia Kurasini. Kwanza asikidhalilishe chuo maana pale hakuna Diploma ya mwaka mmoja. kama anabisha aupoad picha yoyote hapa alipokuwa anatunukiwa hiyo diploma.

Grace Mwasonge unamkumbuka Nape vzr maana alikuwa classmate wako wakati huo. So najua uko humu japo kwa ID tofauti naomba ujitokeze kudhibitisha ili isionekane nafanya defamation.

Mwaka 2004 akatumia cheti chake form four kuomba degree India kwa kusaidiwa na mwandishi mmoja mashuhuri nchini kwa kuwatafutia vyuo vya nje watu waliofeli.

Na akapata kwa masharti ya kusoma miaka minne. Ikumbukwe India ni nchi yenye vyuo vya hovyo sana duniani, na ni miongoni mwa nchi ambazo hata kama una zero unaweza kusoma Bachelor bila matatizo yoyote hadi ukahitimu. Reffer kesi ya Mr.Andekisye, Lecturer aliyefukuzwa kazi Arusha University kwa kusoma elimu feki India. Andekisye aliajiriwa kama mhadhiri wa Marketing na Business Mathematics akidai ana MBA kutoka India. Bt ilipofuatiliwa ikagundulika ni kweli ana Masters bt hajawahi kusoma Bachelor. Alichomoka na Diploma yake ya Ualimu (Mathematics & Physics) kutoka Monduli TTC akaaply Masters India akapata akaenda kujoin. Sasa imagine mtu anatoka Diploma anakwenda Masters sembuse Nape kusoma bachelor?

So akapata degree yake fake ya psychology ambayo ndiyo aliyoitumia kuomba masters mzumbe. Na mzumbe hakukabidhi cheti zaidi ya kile cha degree yake ya India.
Kama anabisha aweke vyeti vyake vya o.lel na a.level hapa.

Huyo ndiye Nahum Moses Nnauye anayejiita Nape. Katibu mwenzezi wa Chama cha Mapinduzi CCM na mgombe ubunge ubungo mwaka 2010, wakati ule akijaribu kushindana na genious aliyepata A 9 O.Level yeye akiwa na D 4 tu.

"Nahum" au Nape NNauye baada ya taarifa hizi jihoji una uhalali wa kuhoji elimu ya JJ.Mnyika?
Yaani unaonyesha ulivyo bonge la Msanii na elimu yako ya kuunga una Masters wakati ulifeli form iv,hujasoma
A level,chuo cha Diplomasia ulifeli jitathmini kuwa masters yako inakusaidia au la? That's why uko kama ulivyo"
 
Acha niwachane laivi nyie: "Hivi kwanini mmekalia kujua matokeo ya watu wengine sasa wewe MsemaUkweli mbona hujatoa matokeo yako tuone mnashadadia vitu vya watu ambavyo havitawapeleka wala kuwasaidia chochote kile mnaleta hoja gani hapa zisizo na msingi " jengeni hoja za msingi kabisa sio kuleta vitu vya kitoto hapa
 
Last edited by a moderator:
MUZEEZAIDI, naona uzi wako ulikuwa umefutwa lakini kuna waliokuwa wameu copy na wametuwekea hapa. Nagonga thanks kwako.

Na wakiufuta na huku utapelekwa sehemu nyingine mpaka Nahum aje ajibu tuhuma hizi,ccm
kweli janga wengine akina Lameck,wengine akina Tamim sasa tuna Nahum duuuuuu......!!!!!!!"
 
Nahum? Ha ha haaaaa! You are rusticated Nahum! Poor boy!
 
Naona Nape anadhalilika sasa!!! Kwanini alianzisha hii kitu lakini?
 
Acha niwachane laivi nyie: "Hivi kwanini mmekalia kujua matokeo ya watu wengine sasa wewe MsemaUkweli mbona hujatoa matokeo yako tuone mnashadadia vitu vya watu ambavyo havitawapeleka wala kuwasaidia chochote kile mnaleta hoja gani hapa zisizo na msingi " jengeni hoja za msingi kabisa sio kuleta vitu vya kitoto hapa

Huu sio utoto Ladyfuraha
 
Foundation ya Degree za Nape ni very questionable!!! Vidato vyote alifeli tena vibaya aliwezaje kusoma degree huyu?
 
Na wakiufuta na huku utapelekwa sehemu nyingine mpaka Nahum aje ajibu tuhuma hizi,ccm
kweli janga wengine akina Lameck,wengine akina Tamim sasa tuna Nahum duuuuuu......!!!!!!!"

Kweli mkuu ikishindikana huku, tutaupeleka kule mambo ya kikubwa tukaujadilie huko,
Nawasiliana na mwanasheria wangu tuone ni jinsi gani, tunaweza kulifikisha hili suala kwenye mkondo wa sheria!
 
Duh! Kwa style hii mchimba kisima katumbukia mwenyewe! Nimekua najiuliza maswali mengi nikisoma mada anazoanzisha huyu kijana,zimekuwa hazina weledi wowote,kumbe ni kwasababu ya uwezo mdogo kiakili. Heri angekaa kimya kuficha ujinga wake,lakini amekua domokaya na vuvuzela linalo ropoka bila mpangilio!
 
Nimeamua kueleza ukweli huu baada ya kuona upotoshaji wa makusudi unaoendelea humu.

Kuna mtu kajitokeza kujibu elimu ya Nape wengi wakahoji kwani Nape yuko wapi asijitokeze mwenyewe kujibu kama alivyofanya Mnyika?

Naomba mfahamu aliyejibu ni Nape mwenyewe kwa kutumia ID ya bandia, lakini amekuwa mno too radical hadi watu wakamshtukia.

Lakini hoja sio kuwa radical, au kutumia ID bandia, hoja ni kuwa amefanya upotoshaji wa makusudi uliotuacha mdomo wazi wale tunaomfahamu. Sasa ukweli kuhusu elimu ya Nape huu hapa.

Mwaka 1993 alifeli darasa la saba. Wakati ule jina halali la Nape akiitwa Nahum Nnauye. Waliosoma nae wanakumbuka. Bt akafanyiwa mpango na kupewa jina la Nape Mkumbo Nyagicha mtoto masikini wa Kinyiramba, aliyefaulu lakini familia yake haikuwa na uwezo wa kumsomesha.

Mwaka 1994 Nahum Nnauye akajiunga na shule ya sekondari ya kutwa Ngudu wilayani Kwimba akiwa na jina jipya la Nape. Mwaka 1995 akahamishiwa shule ya Sekondari Nsumba kwa kutumia title ya baba yake Mzee Moses Nnauye.

Mwal 1997 akafeli form four kwa kupata division four ya point 29 akiwa na D 4, c 1 na F 5. Akareseat mara 2 bila mafanikio pale Butimc TTC ambacho ni kituo cha watahiniwa binafsi. Mwaka 1999 na mwaka 2000.

Akakata tamaa na hatimaye mwaka 2001 akaamua kwenda kusoma cheti cha Uhazili (cert of secretarial services) katika chuo cha Kivukoni. So kabla sijaendelea naomba ieleweke kuwa Nahum Moses Nnauye (Nape) hajawahi kusoma form 5 shule yoyote duniani. Kama anabisha aje hapa tumuulize maswali ya Geography 1 au Ecomics 2 uone atakavyochanganyikiwa. Kwanza hajui kama kuna paper 1 na 2 A.level, atasemaje amesoma A.level?

So akatumia cheti chake cha uhazili kuomba diploma pale chuo cha Diplomasia kurasini. akapata na akaanza kusoma. Mwaka mwaka 2002 akafeli kuendelea na 2nd year baada ya kupata suplimentary 4 ktk masomo 6 aliyokuwa akisoma. So kwa kifupi akadsco. Hivyo naomba ieleweke kuwa huyu jamaa anayejiita Nape hajawahi kutunukiwa diploma yoyote kutoka Chuo cha Diplomasia Kurasini. Kwanza asikidhalilishe chuo maana pale hakuna Diploma ya mwaka mmoja. kama anabisha aupoad picha yoyote hapa alipokuwa anatunukiwa hiyo diploma.

Grace Mwasonge unamkumbuka Nape vzr maana alikuwa classmate wako wakati huo. So najua uko humu japo kwa ID tofauti naomba ujitokeze kudhibitisha ili isionekane nafanya defamation.

Mwaka 2004 akatumia cheti chake cha form four kuomba degree India kwa kusaidiwa na mwandishi mmoja mashuhuri nchini kwa kuwatafutia vyuo vya nje watu waliofeli.

Na akapata kwa masharti ya kusoma miaka minne. Ikumbukwe India ni nchi yenye vyuo vya hovyo sana duniani, na ni miongoni mwa nchi ambazo hata kama una zero unaweza kusoma Bachelor bila matatizo yoyote hadi ukahitimu. Reffer kesi ya Mr.Andekisye, Lecturer aliyefukuzwa kazi Arusha University kwa kusoma elimu feki India. Andekisye aliajiriwa kama mhadhiri wa Marketing na Business Mathematics akidai ana MBA kutoka India.

Bt ilipofuatiliwa ikagundulika ni kweli ana Masters ya MBA bt hajawahi kusoma Bachelor. Alichomoka na Diploma yake ya Ualimu (Mathematics & Physics) kutoka Monduli TTC akaaply Masters India akapata akaenda kujoin. Sasa imagine mtu anatoka Diploma anakwenda Masters sembuse Nape kusoma bachelor?

Nape akapata degree yake fake ya psychology ambayo ndiyo aliyoitumia kuomba masters mzumbe. Na mzumbe hakukabidhi cheti zaidi ya kile cha degree yake ya India.
Kama anabisha aweke vyeti vyake vya o.lel na a.level hapa.

Huyo ndiye Nahum Moses Nnauye anayejiita Nape. Katibu mwenzezi wa Chama cha Mapinduzi CCM na mgombe ubunge ubungo mwaka 2010, wakati ule akijaribu kushindana na Genious aliyepata A 9 O.Level yeye akiwa na D 4 tu.
 
Nape jinga kweli yaani lilihoji elimu ya mnyika likizani watu hawalijui eeeh?Nape kilaza no moja aisee,ila cheo cha baba yake kimemsaidia.Huko aliko anajuta kuulizia elimu ya kamanda Mnyika
 
Ama kweli Makubwa Nahumu/Nape uliyataka mwenyewe sasa umeumbuka!
 
Ni kweli, NAPE anayo MASTERS ila ukiwaweka mezza moja, NAPE hana lolote mbele ya Mnyika. Niliwahi kuwaona kwenye mada moja ITV, NAPE hata kiingereza chake kina utata pamoja na Masters yake! Ukiangalia MBA yake aliyochukua, ukalinganisha na thesis yake ya uchaguzi ni vitu viwili tofauti....
Pia, ukiangalia hizo MBA za miezi 6 zinazotolewa na Mzumbe, utacheka sana maana vyou vyenye heshima mtu anasoma miaka 2 au angalabu miezi 18!
Kwa kuhitimisha, bado Nape ana elimu ya Form 4 tu aache kujikosha. Iwapo anajigamba kuwa na Masters, aende akaandike paper aka present USDM au IFM on any area of his interest. Ikikubalika nitasema kweli ameiva!
 
Kweli mkuu ikishindikana huku, tutaupeleka kule mambo ya kikubwa tukaujadilie huko,
Nawasiliana na mwanasheria wangu tuone ni jinsi gani, tunaweza kulifikisha hili suala kwenye mkondo wa sheria!

Safi mkuu mpaka kieleweke,Nahum aje ajibu tuhuma"
 
Unafikiri kusoma sana ndo kuwa na akili nyingi? Unadhani kuwa na pua kubwa ndo kusema utakuwa na kamasi nyingi? Tuacheni mitizamo dhanifu jamani. Kuna watu wengi wana akili lakini hawakupata fursa za kusoma hadi elimu unazofikiri kuwa ndo kuwa na akili nyingi. Kuna maprofesa wengi lakini wanachokifanya kwenye jamii hata darasa la saba asingefanya.
kama kweli mmekubali akili ndogo itawale akili kubwa mnapotea kama hawa jamaa ni kweli wana hizo elimu then wengine wanasumbuliwa na hawalali usingizi kweli mmekubali akili ndogo itawe ile kubwa
 
Nimeamua kueleza ukweli huu baada ya kuona upotoshaji wa makusudi unaoendelea humu.

Kuna mtu kajitokeza kujibu elimu ya Nape wengi wakahoji kwani Nape yuko wapi asijitokeze mwenyewe kujibu kama alivyofanya Mnyika?

Naomba mfahamu aliyejibu ni Nape mwenyewe kwa kutumia ID ya bandia, lakini amekuwa mno too radical hadi watu wakamshtukia.

Lakini hoja sio kuwa radical, au kutumia ID bandia, hoja ni kuwa amefanya upotoshaji wa makusudi uliotuacha mdomo wazi wale tunaomfahamu. Sasa ukweli kuhusu elimu ya Nape huu hapa.

Mwaka 1993 alifeli darasa la saba. Wakati ule jina halali la Nape akiitwa Nahum Nnauye. Waliosoma nae wanakumbuka. Bt akafanyiwa mpango na kupewa jina la Nape Mkumbo Nyagicha mtoto masikini wa Kinyiramba, aliyefaulu lakini familia yake haikuwa na uwezo wa kumsomesha.

Mwaka 1994 Nahum Nnauye akajiunga na shule ya sekondari ya kutwa Ngudu wilayani Kwimba akiwa na jina jipya la Nape. Mwaka 1995 akahamishiwa shule ya Sekondari Nsumba kwa kutumia title ya baba yake Mzee Moses Nnauye.

Mwal 1997 akafeli form four kwa kupata division four ya point 29 akiwa na D 4, c 1 na F 5. Akareseat mara 2 bila mafanikio pale Butimc TTC ambacho ni kituo cha watahiniwa binafsi. Mwaka 1999 na mwaka 2000.

Akakata tamaa na hatimaye mwaka 2001 akaamua kwenda kusoma cheti cha Uhazili (cert of secretarial services) katika chuo cha Kivukoni. So kabla sijaendelea naomba ieleweke kuwa Nahum Moses Nnauye (Nape) hajawahi kusoma form 5 shule yoyote duniani. Kama anabisha aje hapa tumuulize maswali ya Geography 1 au Ecomics 2 uone atakavyochanganyikiwa. Kwanza hajui kama kuna paper 1 na 2 A.level, atasemaje amesoma A.level?

So akatumia cheti chake cha uhazili kuomba diploma pale chuo cha Diplomasia kurasini. akapata na akaanza kusoma. Mwaka mwaka 2002 akafeli kuendelea na 2nd year baada ya kupata suplimentary 4 ktk masomo 6 aliyokuwa akisoma. So kwa kifupi akadsco. Hivyo naomba ieleweke kuwa huyu jamaa anayejiita Nape hajawahi kutunukiwa diploma yoyote kutoka Chuo cha Diplomasia Kurasini. Kwanza asikidhalilishe chuo maana pale hakuna Diploma ya mwaka mmoja. kama anabisha aupoad picha yoyote hapa alipokuwa anatunukiwa hiyo diploma.

Grace Mwasonge unamkumbuka Nape vzr maana alikuwa classmate wako wakati huo. So najua uko humu japo kwa ID tofauti naomba ujitokeze kudhibitisha ili isionekane nafanya defamation.

Mwaka 2004 akatumia cheti chake cha form four kuomba degree India kwa kusaidiwa na mwandishi mmoja mashuhuri nchini kwa kuwatafutia vyuo vya nje watu waliofeli.

Na akapata kwa masharti ya kusoma miaka minne. Ikumbukwe India ni nchi yenye vyuo vya hovyo sana duniani, na ni miongoni mwa nchi ambazo hata kama una zero unaweza kusoma Bachelor bila matatizo yoyote hadi ukahitimu. Reffer kesi ya Mr.Andekisye, Lecturer aliyefukuzwa kazi Arusha University kwa kusoma elimu feki India. Andekisye aliajiriwa kama mhadhiri wa Marketing na Business Mathematics akidai ana MBA kutoka India.

Bt ilipofuatiliwa ikagundulika ni kweli ana Masters ya MBA bt hajawahi kusoma Bachelor. Alichomoka na Diploma yake ya Ualimu (Mathematics & Physics) kutoka Monduli TTC akaaply Masters India akapata akaenda kujoin. Sasa imagine mtu anatoka Diploma anakwenda Masters sembuse Nape kusoma bachelor?

Nape akapata degree yake fake ya psychology ambayo ndiyo aliyoitumia kuomba masters mzumbe. Na mzumbe hakukabidhi cheti zaidi ya kile cha degree yake ya India.
Kama anabisha aweke vyeti vyake vya o.lel na a.level hapa.

Huyo ndiye Nahum Moses Nnauye anayejiita Nape. Katibu mwenzezi wa Chama cha Mapinduzi CCM na mgombe ubunge ubungo mwaka 2010, wakati ule akijaribu kushindana na Genious aliyepata A 9 O.Level yeye akiwa na D 4 tu.

Safi sana mkuu MUZEEZAIDI kwa kuibandika hapa hii ngoma ya ukweli juu ya Nahum,na wakileta za kuleta
mkuu MchakaMchaka atairusha kwenye jukwaa la kikubwa mpaka kieleweke"Heshima kwako mkuu"
 
Natokea Ngudu Kwimba na ndiko nilikozaliwa kweli kule Nape alikuwa hata hajulikani alipokuwa Ngudu secondary maeneo yote ya Ilamba, Kwideko, Kakora, Majengo, na hata ngudu mjini baba yke ndo alikuwa anafahamika lakini Nape alikuwa hafahamiki na hata pale Ngudu sec. alisoma na Bro wangu ambaye anasema Nape alikuwa kilaza tu.
 
Back
Top Bottom