X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Ila mbona kuna vitabu vineleza kuwa kuna milango 16 wewe unatuambia ipo 12 ukweli uko wapi....?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao wanazungumzia milango, mi nimezungumzia nyumba. Zinaitwa zodiac houses, zipo 12 tu.Ila mbona kuna vitabu vineleza kuwa kuna milango 16 wewe unatuambia ipo 12 ukweli uko wapi....?
Anzisha uzi wako ueleze sababu za kuniambia nianzishe uzi wangu.Anzisha uzi wako...ueleze kupinga acha kuchafua uzi wa mwenzako bila sababu za msingi
Kwanza maliza la awali uthibitishe Mercury in retrograde inaingukia mikataba hapa duniani.Kuna somo jipya nafikiria kuliweka hapa.
We ni msumbufu na bahati nzuri kiboko yako nishamjua..Kwanza maliza la awali uthibitishe Mercury in retrograde inaingukia mikataba hapa duniani.
Hujathibitisha hili ushataka kurukia lingine?
Lazima useme mimi msumbufu.We ni msumbufu na bahati nzuri kiboko yako nishamjua..
Ukiendelea kusumbua ntamuita hapa.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
We ni msumbufu na bahati nzuri kiboko yako nishamjua..
Ukiendelea kusumbua ntamuita hapa.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Jajajaaaa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Lazima useme mimi msumbufu.
Kwa sababubwewe muongo.
Na uongo wako huwezi kuutetea.
Nakuuliza maswali ambayo huwezi kujibu.
Ukweli hauna kiboko yake. Mimi nasema ukweli.
Eti Mercury in retrograde inaathiri mikataba duniani.Jajajaaaa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Unaamini kama Astrology ni science?Lazima useme mimi msumbufu.
Kwa sababubwewe muongo.
Na uongo wako huwezi kuutetea.
Nakuuliza maswali ambayo huwezi kujibu.
Ukweli hauna kiboko yake. Mimi nasema ukweli.
Sitaki kuamini. Nataka kujua.Unaamini kama Astrology ni science?
Huenda kupitia swali hili unaweza nielewa
Nakuona wakubet unavo dadisi. .[emoji23]Kwa njia hizo unaweza kujua hadi na idadi ya magoli?
Hujajibu maswali yangu.Basi kwa taarifa yako Astrology is the science of probability
Science is the study of the nature and behaviour ofHujajibu maswali yangu.
Science ni nini? Unajuaje hii ni science na hii si science?
Maana kama hujui science ni nini, ukianza kuniambia astrology ni science nitakubali vipi unajua astrology ni science wakatihujui science ni nini?
Science ni nini? Unajuaje hii ni science na hii si science?
What separates science from something that is not science?Science is the study of the nature and behaviour of
natural things and the knowledge that we obtain about them.
Ili nijue kama hii science inabidi pafanyike research ambayo inafuata procedure.Hujajibu maswali yangu.
Science ni nini? Unajuaje hii ni science na hii si science?
Maana kama hujui science ni nini, ukianza kuniambia astrology ni science nitakubali vipi unajua astrology ni science wakatihujui science ni nini?
Science ni nini? Unajuaje hii ni science na hii si science?
Research inayofuata procedure ikoje? Procedure za research zikoje?Ili nijue kama hii science inabidi pafanyike research ambayo inafuata procedure.
mkuu hukuelewa kumbe mtarudishana darasani humu,wafundishe waliochagua kuufuatilia uongo wako mkuu.Ili nijue kama hii science inabidi pafanyike research ambayo inafuata procedure.