Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Kwakushindwa kwetu kujitambua acha tuendelee kupambana na hali zetu,mtu halazimishwi jinsi ya kuitumia akili yake.Muda utatulazimu, kwetu tunaweza tuu kuitumia kuwatambua magaidi na kuzuia madai ya haki ya kufanya makongamano ya kudai katiba mpya.Nimeanza kuona umuhimu wa watu kusoma na kuelimika. Angalia sisi ndani humu tulivyomakondoo mpaka vyombo vya nje cnn, aljazeera, sky news nk ndo wanatusaidia kudai haki na inaonekana wao neo wameguswa zaidi na uonevu na ni kama wanaandamana invisibly lakini sisi hakuna tunachojua hata tukichinjwa sawa tu.
Kodi ya miamala ya simu pia ilitosha kuwafanya watu waandamane nchi nzima lakini ndugai amebaki anawakejeli kana kwamba anawona watanzania hamnazo kabisa na hamjimbui.
Tanzania tunahitaji sana elimu utamkuta hata graduate haelewi kinachoendelea anaulizia tu na anaamini miujiza kama pascal mayala.
Anza ww na familia yako kuingia barabaraniNimeanza kuona umuhimu wa watu kusoma na kuelimika. Angalia sisi ndani humu tulivyomakondoo mpaka vyombo vya nje cnn, aljazeera, sky news nk ndo wanatusaidia kudai haki na inaonekana wao neo wameguswa zaidi na uonevu na ni kama wanaandamana invisibly lakini sisi hakuna tunachojua hata tukichinjwa sawa tu.
Kodi ya miamala ya simu pia ilitosha kuwafanya watu waandamane nchi nzima lakini ndugai amebaki anawakejeli kana kwamba anawona watanzania hamnazo kabisa na hamjimbui.
Tanzania tunahitaji sana elimu utamkuta hata graduate haelewi kinachoendelea anaulizia tu na anaamini miujiza kama pascal mayala.
Anza ww na familia yako kuingia barabarani
KWa hiyo wewe pia hauna akili?Nimeanza kuona umuhimu wa watu kusoma na kuelimika. Angalia sisi ndani humu tulivyomakondoo mpaka vyombo vya nje cnn, aljazeera, sky news nk ndo wanatusaidia kudai haki na inaonekana wao neo wameguswa zaidi na uonevu na ni kama wanaandamana invisibly lakini sisi hakuna tunachojua hata tukichinjwa sawa tu.
Kodi ya miamala ya simu pia ilitosha kuwafanya watu waandamane nchi nzima lakini ndugai amebaki anawakejeli kana kwamba anawona watanzania hamnazo kabisa na hamjimbui.
Tanzania tunahitaji sana elimu utamkuta hata graduate haelewi kinachoendelea anaulizia tu na anaamini miujiza kama pascal mayala.
Nakubaliana Na Wewe Ila Bado Nina Swali Kwani Katiba inasemaje? Me Bado sijafaham, endapo hatukubaliani na Mambo yanayofanywa na viongozi, Ni njia ipi ya kufanya Ili kuwaonesha Kuwa wapo kinyume na sisi? Ni kwa kuandamana au Kuna njia Nyingine mbadala?Nimeanza kuona umuhimu wa watu kusoma na kuelimika. Angalia sisi ndani humu tulivyomakondoo mpaka vyombo vya nje cnn, aljazeera, sky news nk ndo wanatusaidia kudai haki na inaonekana wao neo wameguswa zaidi na uonevu na ni kama wanaandamana invisibly lakini sisi hakuna tunachojua hata tukichinjwa sawa tu.
Kodi ya miamala ya simu pia ilitosha kuwafanya watu waandamane nchi nzima lakini ndugai amebaki anawakejeli kana kwamba anawona watanzania hamnazo kabisa na hamjimbui.
Tanzania tunahitaji sana elimu utamkuta hata graduate haelewi kinachoendelea anaulizia tu na anaamini miujiza kama pascal mayala.
Tupe mawazo yako mtambukaKWa hiyo wewe pia hauna akili?
Hebu jisemee peke yako.... Sisi ni... We are...
Sina.Tupe mawazo yako mtambuka
Tukijisemea wenyewe vipi kuhusu wasiokuwa na wakuwasemea?Hebu jisemee peke yako.
Kwa hiyo umefilisika ama?Sina.
Hebu jisemee peke yako.
Yaani unafikiri unanitisha na hicho kizungu chako cha kukariri? Ha ha ha. Upuuzi mtupu.You are the mother of the sheep... If you did not know.