Elimu ya Uraia na Haki inahitajika sana Tanzania!

Acha ujinga wako. Ujinga (ignorance) ndio mtaji wa CCM. Yaani watu kama ninyi. Wingi wa sheep ni sheep. Hukujifunza hilo shule ya msingi? Ama ni wale mlioruka primary na kwenda secondary moja kwa moja? Unajaribu kunisahihisha ama kujidhalilisha?
Jifunze kizungu kwa ufasaha kwanza. Yaani hata ulipokosea hupaoni? Pole.
 
Acha ujinga wako. Ujinga (ignorance) ndio mtaji wa CCM. Yaani watu kama ninyi. Wingi wa sheep ni sheep. Hukujifunza hilo shule ya msingi? Ama ni wale mlioruka primary na kwenda secondary moja kwa moja? Unajaribu kunisahihisha ama kujidhalilisha?
Endelea kuboronga na kuchekesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…