Elimu ya Uraia na Haki inahitajika sana Tanzania!

Uraia na haki ndio kupinga uzalendo wa kuchangia Kodi ya nchi yangu ili serikali yangu iweze kunitengenezea barabara nisafirishe mazao yangu kwa uzuri nikauze mijini?
 
Mkuu kama mwendazake alikuwa na waganga 900 hapo geita tu,hivi unadhani kuna mwananchi ambaye hajafungwa ?.

InafiInafikirisha sana kwa kweli,nchi inahitaji kwanza maombi ya kuwafungua watanzania tuliofanywa makondoo.

Uchawi upo mkuu.
 

SIO TANZANIA NI TANGANYIKA KWANI HAKUNA MUUNGANO , HUU NI UVAMIZI WA TANGANYIKA KWA ZANZIBAR
 
Maisha ni zaidi ya prado.

Muulize yeye mbona ananunua Peugeot za mwaka 70 wakati uwezo wa kununua prado anao???

Ujinga ni kuamini kuridhika kwa mtu mmoha ni sawa na mwingine.
 
Watu wanawezaje kuchagua viongozi km hawajitambui vyama vya siasa , serikali na NGO kazi zake ni nini miaka 60 ya Uhuru, tukisema ccm imeshindwa nani wa kubisha...!

Watu kunyamaza haina maana hawajui, hizi tozo zinamuudhi kila Mtanzania ... hao cnn, bbc na wengine wanakua na msukumo wa kutusemea kwasababu huko wanao Uhuru wa kusemea.. hapa kwetu pa kusema hapako vyombo vyetu vyote vya habari haviko huru ... sheria ya takwimu tu inatuondoa kwenye ukweli km Watanzania kweli hawana hiyo elimu .. unadhni bila HAKI ya kusema na kuandamana km ilivyo kwenye katiba haizingatiwi na vyombo vya dola Mtu anawezaje kusema Watanzania hawana elimu na lakini sio HAKI yao ya msingi kudhulumiwa na mamlaka ndio sababu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…